Recent content by kaxno

  1. kaxno

    JamiiForums Tanzania Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

    Kamishna katumia nguvu nyingi kwenye Technologia ndio madhara yake sasa.
  2. kaxno

    JamiiForums Tanzania Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

    Hii Spana sio ya nchi hii
  3. kaxno

    JamiiForums Tanzania Funza kwa ajili ya mifugo

    Hahahaaaaa aisee kweli akutake radhi mkuu
  4. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Yalikuwa poa sana mkuu. Wametuletea maswal ya certificates aiseee full kukanyagana
  5. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Mzee nami naingia dom kesho tuonane tupeane maujanja ya hapa na pale
  6. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Ni bora kuipata hata hyo ya mkataba kuliko kusugua bench
  7. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Wale wazee wa Bebit balance should be corresponding with Credit balance naomba tukutane tarehe 1march pale dodoma. Maombi yenu muhimu
  8. kaxno

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Joseph Mbilinyi (Sugu) ni kesho, wanaMbeya wanasema ama zao ama mbunge wao

    Ungekuwa mwana mbeya usingeongea hayo maneno ya kutumwa na basi la Lumumba. Unafikir wanaume wa mbeya kama wa Dar? Hatuyumbishwi na tunataka mbunge wa jiji letu aendelee kututumikia akiwa nje.
  9. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Kuna ambao wamepandishwa madaraja
  10. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Wengine wanawachukua wa ndani.
  11. kaxno

    JamiiForums Tanzania TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

    Haya wale wagavi wameitwa kazini.
  12. kaxno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anamsifia mwanaume mwenzake ambaye ni mpenzi wangu mwingine

    Inawezekana ukawa unamdate chakula ya watu
  13. kaxno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mume wangu kampa mimba msichana wa kazi

    Nawe kabebe ya house boy
  14. kaxno

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

    Kama una mikucha mirefu kama kalishika utakuwa huoshi vizuri PuRu
  15. kaxno

    JamiiForums Tanzania Kama askari upelelezi: Kwa tukio kama hili ungefanyaje kubaini mhalifu?

    Hiyo career ina watu smart sana na hata siku moja hawawez fanya ujambazi bila kuwa na usafiri wa kuwatoa eneo la tulio na gari huwa silence au boda boda bse wanajua anything can happen. Sasa from no where wamkute mtu anapark gar yake wasepe nae...... sema hii ni story tu kama ndoto za abunuasi...
Back
Top Bottom