Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

Swali kwako Kamishna wa Polisi Sabas

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Amekuja kujibu ila si umeona majibu yake?????

Badala ya kutoa ratiba ya Tume inayoonesha kampeni za Majaliwa kaja kutoa maelezo matupu 😂😂😂😂

Yehodaya anawaangusha sana Lumumba!
 
Naona unajichosha kumuuliza huyo mchovu Sabas tangu lini yeye akawa afisa wa tume hivi mbona wanajidharilisha sana kupoka mamlaka ya tume yaani anaropoka kama chizi akitegemea mabomu au risasi ziliwahi mushinda nguvu ya umma wakiamua mtu wanayemkingia kifua yaani magufuli hata kuku wa nchi hawamtaki so hana nguvu ya umma polisi wajihadhari na ujinga huo i am sure chadema watampa vipande vyake
Sabas kaona Dr Mahera anazingua kaamua kujibu yeye😂😂😂😂. Sijui ana cheo gani pale tume ya uchaguzi
 
Kamishna katumia nguvu nyingi kwenye Technologia ndio madhara yake sasa.
Screenshot_20200907-200138.jpg
 
Na wajumbe wengine wa kamati kuu katika vyama vyao wanaruhusiwa kufanya kampeni popote?
Waziri mkuu sio mgombea uraisi ni mjumbe wa kamati kuu aweza fanya kampeni popote kwa kofia yake ya uanachama na ujumbe wa kamati kuu .Hilo uliloandika linawahusu wagombea uraisi sio wapiga debe ambao sio wagombea kama mimi na MJUMBE wa kamati kuu Kassimu Majaliwa

mimi binafsi nafanya kampeni ya kuzunguka lakini ratiba ya mizunguko yangu ya nyumba kwa nyumba ya kumnadi Raisi sijapangiwa na tume
 
Back
Top Bottom