TARURA waanza kuita watu kwenye Usaili kwa walioomba kazi kwenye tangazo la tarehe 8/12/2017

Huyu ambaye ameitwa peke yake ni bora wangemwita kazini moja kwa moja...kuliko kupoteza pesa za kumfanyia usaili. Wangempigia simu wamuulize tu kwamba yupo hai ama amekufa...km yupo hai awe anapatikana kupitia Simu yake
Usaili bongo wenge, unaweza kukuta akawa disqualifie afu winner akapatikana na kwenye shortlist ya usaili hakuwemo
 
Hata mm nina wasiwasi nalo...utakuta wana mtu wao na huyo waliyempata sio mhusika. Wanaweza wakasema hajapita interview.....
Wakati sector zingine km afya na waalimu wanapanga moja kwa moja pasipo kuwajua ama kuwaona.

Hii inabidi tuifuatilie kwa ukaribu tuone, maana serikalini hasa mashirika na bodi....ni wahuni sana wanakuwaga na watu wao kabisa
Hata road engineer nafasi ni 45 ila wameita 28, au wanaitwa kwa mafungu
 
Mrejesho utakuja walio wengi ni wazee wa makabati interview yao bado kufanyika.
 
Wale wazee wa Bebit balance should be corresponding with Credit balance naomba tukutane tarehe 1march pale dodoma. Maombi yenu muhimu
 
Wale wazee wa Bebit balance should be corresponding with Credit balance naomba tukutane tarehe 1march pale dodoma. Maombi yenu muhimu
Kapambane boss wangu inabidi ukaze kuna mdau alinipanga maana maswali almost waloulizwa kwa nafasi aloomba yeye ni ya proffession from Aptitude to Oral.kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom