Recent content by katembo50

  1. katembo50

    Hodi wanaJF

    Karibu sana ngombelee Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. katembo50

    Rocket

    Ni hivi. Umbali huo Ambao ndege hizi zinakuwa huwezi kusikia mngurumo hata kidogo. Ni mbali sana Kwa kweli. Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. katembo50

    Ni sahihi kwa Brigedia Jenerali kumlinda Rais?

    Dah.... Hii mada tamu sana. Sijaweza hata kufunga jicho nafyatilia Kama darasani vile Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. katembo50

    Kuna mtu yoyote anayeweza ku crack apple ID on IOS7

    [QU OTE=ChelseaBlue;8745808]ingekuwa ni kuondoa simu iliyo katika blacklist (lost or stolen) kwenye carrier fulani ingewezekana, au bad esn, carrier locked ungeweza kupata solution. ila Apple ID lazima ipitie na kuruhusiwa kwenye Apple servers. utapata access kama wewe ni mmiliki halisi wa hiyo...
  5. katembo50

    Sijui kuchat JF

    Unatumia simu ya AINA gani? Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. katembo50

    Upepo Mkali Kinondoni

    Yaani hapa mbagala Chamazi hapafai Kwa radi. Tanesco washafanya Yao muda sana tu. Mvua ni kubwa pamoja na upepo mkali. Kesho sijui Kama hatukusikia mafuriko au radi kuchukua mtu. Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. katembo50

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano Tarehe 26 Machi 2014

    Hata Kama kakubali kuiuza nchi ili apewe urais mwakani bado itakuwa tabu Kwa Kuwa SheriA anazoptisha ndio atakazozitumia kuongoza nchi hii Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. katembo50

    Haijalishi nina umri gani, Bado napenda sana kuangalia katuni!

    Dah..... Mimi Tom & Jerry mimi hoi kabisa. Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. katembo50

    Msaaada jamani ndoa iko hatarini kuvunjika

    Lakini huoni Kama ni kuonyesha kutoaminiana Kwa kiwango kikubwa tens unaonyesha mbele za watu. Kuna usemi Kuwa ukiona mtu hakuamini ujue na yeye si mwaminifu Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. katembo50

    Mwanamke ukiolewa na watu hawa ujue umekula hasara sana

    Tabia si kundi Bali ni mtu Kwa mtu Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. katembo50

    Msaaada jamani ndoa iko hatarini kuvunjika

    Tatizo si kupokea simu za mumewe wakati mwingine anamwuliza maswali mengine huyo mpigaji Hali hajui man uhusiano gani. Wakati mwingine ni mtu anayekuletea dili sasa akiulizwa first time Mara nyingine atakuletea dili kweli. Mwisho wa siku mnawafanya Wanaume kuonekana Kama wanatawaliwa ndani ya...
Back
Top Bottom