Upepo Mkali Kinondoni

Upepo Mkali Kinondoni

Jamani zile radi za Jana na mvua nikajua dunia imeisha c nikaanza kutubu, maana tulijua tunakufa aiseeh dah usiku wa jna ulikuwa wa heka heka
 
Huku nilipo nahisi kuna nyumba zimeezuliwa mapaa.
Upepo mkali na mvua kubwa.

tuwaombee wa mabondeni waamke salama kesho
 
huku kwetu inanyesha mvua ya kokoto..yaani hakulaliki wakuu
 
Jamani zile radi za Jana na mvua nikajua dunia imeisha c nikaanza kutubu, maana tulijua tunakufa aiseeh dah usiku wa jna ulikuwa wa heka heka

Hahaahha kwaio ulipoona bado tunaishi ukarudia mabaya?
 
Huku Manzese kwa hisani ya watu wa Marekani mvua inanyesha na kwahisani yawatu wa Marekani umeme unawaka. Ila kwahisani ya jeshi la polisi vibaka wako wengi sana hasa mitaa ya Rambo bar mpaka tip top
 
Mambo ya kuescort haya ndo madhara yake maasi mengi.:-(
 
Huku boko upepo sio mkali ila kuna vidudu vinang'ata balaa.. vimenikurupusha usingizini, sijui vinapitaje kwenye neti. ..hapa imebidi tuamke tutoke chumbani tunasubiri harufu ya dawa ya mbu iishe!!!
kunguni nini?.
 
Nipo Gongo la mboto Tanesco walishachukua hatua mapema lakini naona wametuhurumia wamerudisha mzigo, ila hiyo miale na mingurumo inatisha hatari, mvua imekatika ni mingurumo tu sasa..........ila pamoja na mingurumo na radi sijatishika nimevuna maji ya kutosha wife kajikunyata ndani.
 
Mkuranga mvua kubwa sana na ngurumo za hatari...na Tanesco kama kawaida yao wako bize na yao...giza la kukimbia...hatari hzo ngurumo za radi noma...acha nifanye yangu na mama J hapa.
 
Good... Thats a Man now.
 
Hamlali ? Kumbe wapweke tusio na wenza tuko wengi. tuanzishe club cha wasio na usingizi
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Mkuranga mvua kubwa sana na ngurumo za hatari...na Tanesco kama kawaida yao wako bize na yao...giza la kukimbia...hatari hzo ngurumo za radi noma...acha nifanye yangu na mama J hapa.
radi na ngono hazipatanagi oooho.
 
Yaani hapa mbagala Chamazi hapafai Kwa radi. Tanesco washafanya Yao muda sana tu. Mvua ni kubwa pamoja na upepo mkali. Kesho sijui Kama hatukusikia mafuriko au radi kuchukua mtu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Duuh! hili la sasa hivi ndio kubwa Wallaah!
 
Duuh! hili la sasa hivi ndio kubwa Wallaah!

Umeisikia hiyo radi? yani nlikuwa nasinzia lakini mbona usingizi umeisha nimehisi kitanda kinatikisika. Huku niliko mvua imekata sasa.
 
Kwa taarifa yenu Dar nzima ni sehemu ya bahari!! Sasa hivi mtajikuta bahari ya Hindi. Lol
 
Mimi naogopa jamani, hata siwezi kulala na hii hali radi, vimulimuli bora mvua muda huu Tabata Segerea imekatika.
Tanesco washafanya yao.
hebu drive uje ulale huku kwengu!hakuna mvua hata tone!
 
ohooo mbona kama vinataka kuanza tena!na haka kasimu nakazima sasa hivi duh usiku utakua mrefu sana
 
Back
Top Bottom