Recent content by kasule

  1. K

    JamiiForums Tanzania Utumishi wameita kazini, Nimekosa tena

    Usife moyo jamaa yangu mm mwemnyewe nilifanya za utumish tano nkakosa but ya sita nikabutuaaa, xo mungu anajua wap kukupangia keep on prayer Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  2. K

    JamiiForums Tanzania CV ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa SMZ Mh. Othmam Masoud Othman

    Jamaa jembe kama viongoz wote wangekuwa na uelewa kama wa Mh Othman bac nchi hii ingekuwa mbal kimaendeleo. Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  3. K

    JamiiForums Tanzania Professor mchumi bora tanzania,africa na dunia toka ukawa yupo ndani ya itv.

    Lait nchi hii ingemtumia japo kwa mda wa mwaka mmoja tungekuwa mbal sanaa Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  4. K

    JamiiForums Tanzania BOT wameniita kwenye aptitude

    Maswal ni proffessional zaid Soma sana ndgu yangu Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

    Inna lillah wainna illaih rajiuun. Mungu akupe nguv katika khali hii kaka yangu Zito Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukata kiuno wakati wa tendo la ndoa kwa mwanamke

    Hutachoka kutwanga kama mpepetaji anajua kupepeta vilivyoooo. Unaweza ukakesha ukitwanga. Maunooo balaaaaaa Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  7. K

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu yajibiwe kwa hoja sio propaganda

    Jaman mleta mada anataka kujua ukwel coz kuna ki2 kimejificha katika muungano huu. Xo nashangaa wa2 mnajibu kipropaganda zaid. Plz let us hit da poit Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  8. K

    JamiiForums Tanzania BOT wameniita kwenye aptitude

    Position gan? Kuwa specific coz BOT walitoa nafas nyingi sana Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  9. K

    JamiiForums Tanzania Update za NHIF

    Jaman wameshaita wa2 kwenye interview(oral) itakuwa ni tar 20. Majina yalitoka gazet la mwananchi last week Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi EWURA

    Jaman kaz hiz ni za march bana Deadline ilikuwa tar 14 Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kapteni Komba, umetumwa na nani?

    Hiv jaman mnapoteza mda wen kumjadili mwimbaji wa taarabu!!! Hana jipya huyooo Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  12. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Siwezi kukubali au kukanusha kama niko chama kipya cha ACT

    Zitto katuacha njia panda, the guyz iz so smart katika kujibu maswal ya waandish wa habari. Big up Zitto Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mwezi Mtukufu Wa Rajab: Ya Kutenda na ya Kujiepusha nayo

    May Allah reward u 4 diz Allahumma amiin Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  14. K

    JamiiForums Tanzania Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

    Wee sheikh mungu akulaan, na siku moja utakuja kuwa mas-uliyya juu ya usalit wako. Mwogopen sana m2 ambaye njaa ikihama kutoka tumboni ikakimbilia kwenye ubongo. Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ppf

    Mmmh!!!! Mbona mapema sanaaaa Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Back
Top Bottom