Nimechoka , jamani wadau tangu 2011 nimegraduate, sipati kazi kabisa , naitwa sana utumishi but written napta but siitwi kazini, Mungu wangu nipe busara ya kuhesabu wakati, kama ya kwangu bado nipe moyo Wa ujasiri nisiumie roho...it pains
Aisee nikisikiaga hivi moyo wangu unazimia kabisa
Aisee nikisikiaga hivi moyo wangu unazimia kabisa
Kwanini nado upo.chuo nini??karibu mtaani ndo mwisho wa siku unazoea tuu mkuu hii hali