Sheikh mkuu mkoa wa Dar aonya maneno ya Lukuvi kutafsiriwa vibaya

Jamaa anaandaliwa kuwa mufti basi weee

Ila ni sheikh mwenye busara sana
 
huyu ni sheikh pekee ambaye namuheshimu nchini kwetu lakini ajiangalie ile heshima na trust tuliyompa anaibetray yeye mwenyewe. hivi vipande therasini vya fedha huwa avimuachi mtu salama ataumbuka.

Hata mimi Sheikh Alhaji Alhad Mussa Salum namheshimu sana kwa busara zake, lakini hapo amepotoka! Tunajua taasis aliyoko ina mrengo ambao kimsingi unalalamikiwa na Waislam wengi kuwa INATUMIKA/WA kisiasa badala ya kuendeleza Uislam!
 
huyu ni sheikh pekee ambaye namuheshimu nchini kwetu lakini ajiangalie ile heshima na trust tuliyompa anaibetray yeye mwenyewe. hivi vipande therasini vya fedha huwa avimuachi mtu salama ataumbuka.

acha unafiki wewe ni tangu lini mpagawa wewe uliyejawa na udini mpaka kwenye kopi za macho ukawa na mapenzi na masheikh?? Haya maneno yamewaingia ndio maana mnaweweseka.
 
Wee sheikh mungu akulaan, na siku moja utakuja kuwa mas-uliyya juu ya usalit wako.
Mwogopen sana m2 ambaye njaa ikihama kutoka tumboni ikakimbilia kwenye ubongo.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Huyu msh...en...zi anatumika kama ndomu tena ya kike.....jongo mpaka leo hakanyagi manyema kusalisha chizi fresh jongooo
 
Sio rahisi.Bakwata ni zaidi ya NGO hii inalindwa na ccm na police .
Ukiigusa ni sawa umevamia chimwanga au lumumba.
Watatumia nguvu zote hata jeshi ikibidi.
Walisha jaribu miaka ya nyuma wakapigea na kukamatwa.
Na mahakamani pia wako hovyo.
Kina ponda ndio wako ndani kwa kosa la kuisema bakwata
Wakati wa uchaguzi serikali inasimamia.
Hili dubwana ni baya sana .
Lakini ipo siku litaondoka.
 
Ok! ili Bakwta iwe huru basi ni lazima hii serikali inayoilinda iangushwe kwanza. Waislam ndugu zangu, km kweli mnaichukia bakwata shirikianeni kuiondoa hii serikali dhalimu madarakani na bakwata itakuwa imesambaratika rasmi. hay ndugu zangu kazi kwenu!
 
Mkuu,

Nakuhakikishia yakua hakuna na wala hatatokea Muislam yeyote mwenye akili zake timamu ati aipigie kura Chadema, na kuipeleka madarakani!? Duuuh!

Labda wale self-hate Muslims...ambao hata hivyo wapo kiduchu mno!

Kwa hivi sasa pale nchini, bado hakijapatika chama serious mbadala cha kisiasa chenye credibility ya kuitoa CCM madarakani!?

Pamoja na madhaifu kadhaa ya CCM...lakini bado kinakubalika miongoni mwa Wananchi walio wengi!

Salaam zao!

Ahsanta.
 
Wewe Tedo ndo una kauli za kichochezi kama Lkv, Kwa akili yako we ulitaka Waislamu wote wamwuunge mkono Sheikh wa Dar kwa maneno yake na kinyume cha hivyo wanaosema ukweli we unawabana na kauli yako eti waislamu wameparaganyika - is it fair? Kwa maana nyingine ili waonyeshe mshikamano lazima wamuunge mkono Sheikh!

Tafadhali muwe mnatafakari kabla ya kupost kwenye mada sensitive kama hizi. Big up Ritz kwenye uzi huu ingawa mara nyingi huwa tunatofautiana.

Mkuu, umesomeka!

Shukran sana.
 
BAKWATA OYEEEEEE

Njaa hizi jamani zinapotosha. Hata blue unaweza kusema nyeupe. Ustaadhi achana na mfupa huu hauuwezi. Lukuvi anachukiwa na watu wa Itikadi mbalimbali kwa upuuzi alioufanya.

Bado unatetea ushenzi alioropoka kanisani?

Usikubali kutumiwa.
 
lazima ijetayarishe si ramadhani ndio inakaribiya anategemeya cho chote kutoka CCM
 
Back
Top Bottom