Unene ukizidi Mafuta yanaingia kwenye Ubongo uwezo wa kufikiri unashuka kwa kasi ! Akili ya Komba sasa imejaa Mafuta upeo wake umekuwa Duni sasa anaishi kwa mazoea na Kukariri ,hana jipya mda mwingi huutumia akimwaza Lulu Kanumbahuyu bwana naona amelewa sifa kupitiliza.sikuamini masikio yangu kusikia akimtuakana.warioba. eti warioba ni hovyo hovyo anataka kuvuruga amani ya nchi,
kwanza komba ajue warioba nimtu mashuuri nchini asijilinganishe nae. warioba sio wakufuata mawazo ya chama hatakama hayana tija kwa taifa yeye ni mzalendo,kwanza haku pewa vyeo kama komba kupewa ukapten,kwa kuimba taarabu katika vita ya kagera. aende akaimbe mipasho kule tot na khadija kopa, kulendio maalipake, asitafute kuzawadiwa uwaziri,