BOT wameniita kwenye aptitude

BOT wameniita kwenye aptitude

Mimi pia nimeitwa kwenye aptitude test,naomba msaada kujua kunakua na maswali ya aina gani. Kuna yanayohusiana na position ya uliyoomba?
 
Position gan? Kuwa specific coz BOT walitoa nafas nyingi sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Aptitude ndio nn??

wewe bhana si utumie google, sio kila kitu unauliza vingine vinachosha kuelezea jambo dogo kama hili, wabongo tumezoea kutafuniwa, we unashindwa kuandika google what is aptitude test ukaona majibu, ukikosa ajira unalalamika wanapendelewa, kama maana ya aptitude test tu hufahamu na hutaki kujituma kidogo tu ukaifahamu.

nimejibu kiujumla, wengi sana wa design yako.
 
Habari wapendwa
Yeyote aaliyewahi kufanya hizi aptitude test za BOT naomba anipe idea. Maswali yakoje ya kiprofession zaidi au ni general knowledge.
 
Habari wapendwa
Yeyote aaliyewahi kufanya hizi aptitude test za BOT naomba anipe idea. Maswali yakoje ya kiprofession zaidi au ni general knowledge
 
Maswal ni proffessional zaid
Soma sana ndgu yangu

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Najua hii post ni ya 2014 ila mm nimeitwa 2017 katika post ya business analyst, vipi aptitude test zao zinakuaje?
Aptitude ni pepa la hesabu.
Hesabu ndogo ndogo za kawaida lakin very technique.
 
Back
Top Bottom