Wakuu habari,
Hii simu ni wiki sasa inasumbua touch lakini ukitumia S-Pen inatouch vizuri kabisa.
Mwenye kuelewa anisaidie kama ni ishu za software ama hardware maana nmeshindwa kuelewa.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweny post yko unaongea kama Mtanzania, ajab kweny comments unaongea kam Mnyarwanda..
Sasa kama we mnyarwanda kwann huu ushauri wko usiupeleke kwenu Rwanda hko..!?
#Mkiwa kwenu mnajiita watanzania.
Tangu nakua mpak leo huwa nikikaa naona vitu kama nyuznyuz znazong'aa lakn sion zilipoanzia wala znapoishia zmenizunguka tena sometimes zinachukua eneo kubwa..
Japo cwez kuamua kuziona, hutokea nikikaa nikajisahau. Hii inamaana gan?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.