Recent content by Kasuku Mdogo

  1. K

    Mlevi Apiga Simu Polisi

    Mlevi: Halooo!! Hapo ni kituo cha polisi???? Polisi: Ndiyo, tukusaidie nini? Mlevi: Kuna wizi umetokea. Nilipaki gari langu baa,nimetoka nakuta usukani, dashbod na kiti cha dereva havipo! Polisi: Ok…!!!Upo maeneo gani tuje sasa hivi? Mlevi: Oooooh sorry msije tena, kumbe niliingia mlango wa...
  2. K

    Bwana harusi kikojozi

    Jamaa alikuwa ana tabia ya kukojoa kitandani baadhi ya siku. Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama kawaida yake alijikojolea. Akapiga kelele “Mungu wangu eee”. Mke wake akashtuka, akamuuliza: Vipi mume wangu? Mume: Hivi mke wangu ungeota unataka kuliwa na...
  3. K

    Utajiri ni shida

    Jamaa mmoja alikosea kutuma pesa akatuma milioni mbili kwenye namba ambayo si kusudio lako. Akafikiria cha kufanya akaja na hii. ‘ Hello natumai u mzima. Naamini umepokea pesa niliyokutumia. Ni kwa ajili ya mwanzo wako wa kuingia katika Amri za Freemason kwa utambulisho mpya utakofanyika kesho...
  4. K

    Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu

    Kuna mambo mawili ukizaliwa na kuishi yatakuhusu 1. Ni ama wewe utazaliwa mwanaume 2. Au wewe utazaliwa mwanamke Kama wewe utazaliwa mwanamke uko salama, Lakini kama wewe utazaliwa mwanaume kuna mambo mawili yatakuhusu 1. Aidha wewe utaajiriwa uraiani 2. Au utaajiriwa jeshini Kama wewe...
  5. K

    A man goes to a bar with his seeing-eye dog

    A man goes to a bar with his dog. He goes up to the bar and asks for a drink. The bartender says "You can't bring that dog in here!" The guy, without missing a beat, says "This is my seeing-eye dog." "Oh man, " the bartender says, "I'm sorry, here, the first one's on me." The man takes his...
  6. K

    Vyakula vinavyopunguza unene

    Njia kuu ya kupunguza unene ni pamoja na kuchagua vyakula vya kula yaani kujua aina ya vyakula unavyotakiwa kuvila Vifuatavyo ni vyakula, mboga na matunda ambayo vikiliwa kwa mpangilio mzuri, huondoa mafuta ya ziada mwilini na hivyo kupunguza unene: Matunda Matunda ni miongoni mwa vyakula...
  7. K

    Hii ndiyo sababu yako kutoosha sufuria?

    Mwanamume akapiga chakula mwenyewe nyumbani, akaachia chakula kadhaa kwa mkewe kila mara...... Siku ile mkewe akampiga, yule mume akalilia na kamuliza: kwa nini unipige?’ Mkewe akasema: Hii ndiyo sababu yako kutoosha sufuria?
  8. K

    Elimu kuhusu nguvu za kiume

    Katika kilele cha juu kabisa cha furaha katika ndoa, kama inavyojulikana, ni sherehe inayopatikana katika kitendo lenyewe la ndoa. Ingawa, ili furaha hiyo ipatikane ni lazima tendo hilo limefanyika katika hali ya afya kwa wanandoa wote wawili. Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi...
  9. K

    Unajua kwanini mapenzi ya mbali hayadumu?

    Wengi wetu hujiuliza kwa nini maisha ya mapenzi ya mbali huwa hayafiki mbali na kubaki wa kijiuliza tatizo ni nini? Wakati mwingine watu huanza kuulizana mchawi ni nani katika mapenzi yao. Laa hasha! Huenda mchawi wa mapenzi yako ni wewe mwenyewe lakini hujui kwa sababu hakuna mtu ambaye...
  10. K

    Keki ya kuku ndani

    ;)
  11. K

    Keki ya kuku ndani

    Mahitaji Unga wa ngano 250g Butter 250g Mayai 9 Baking powder kijiko cha chai 1 Kuku wa kusaga 2 cups Chumvi kijiko cha chai 1 Sukari 1/3 cup Kungu manga 1/2 kijiko cha chai (sio lazima) Mdalasini kijiko cha chai 1 Curry powder kijiko cha chai 1 Kitunguu swaumu kijiko cha chai 1 Tangawizi kijiko...
  12. K

    Dawa ya asili ya ugonjwa wa moyo

    Ugonjwa wa moyo unajumuisha matatizo ambayo yanaathiri muundo na kazi za moyo. Ugonjwa wa moyo mara nyingi huhusishwa na kujibana au kukazika kwa mishipa ya damu, au mkusanyiko wa taka katika kuta za mishipa ya damu ambako hupelekea kupungua kipenyo cha mishipa ya damu na hivyo kuzuia mzunguko...
  13. K

    Dalili za malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea. Vimelea vya malaria vinavyoitwa Plasmodia huingia katika mfumo wa damu kupitia kuumwa na mbu jike aitwaye kwa kitaalamu kama ‘Anopheles’. Dalili zake ni pamoja na Kupatwa na homa Kuhisi baridi Kutokwa na jasho Mavumivu ya kichwa na mwili...
  14. K

    Dawa ya malaria

    1.Juisi ya aloe vera (mshubiri) Juisi ya Aloe Vera huongeza kinga ya mwili. Mu-aloe-vera una viinilishe vingi sana muhimu kwa afya ya binadamu. Una vitamini A, B, C na E. Mmea huu una orodha ndefu ya madini muhimu kwa mwili na vimeng’enya vingine muhimu. Tengeneza juisi freshi nyumbani na...
Back
Top Bottom