Mlevi Apiga Simu Polisi

Kasuku Mdogo

Member
Jun 2, 2016
14
23
Mlevi: Halooo!! Hapo ni kituo cha polisi????

Polisi: Ndiyo, tukusaidie nini?

Mlevi: Kuna wizi umetokea. Nilipaki gari langu baa,nimetoka nakuta usukani, dashbod na kiti cha dereva havipo!

Polisi: Ok…!!!Upo maeneo gani tuje sasa hivi?

Mlevi: Oooooh sorry msije tena, kumbe niliingia mlango wa nyuma !!!!
 
Mbege mbaya sana
 
Back
Top Bottom