Utajiri ni shida


K

Kasuku Mdogo

Member
Joined
Jun 2, 2016
Messages
14
Likes
23
Points
5
K

Kasuku Mdogo

Member
Joined Jun 2, 2016
14 23 5
Jamaa mmoja alikosea kutuma pesa akatuma milioni mbili kwenye namba ambayo si kusudio lako. Akafikiria cha kufanya akaja na hii.

‘ Hello natumai u mzima. Naamini umepokea pesa niliyokutumia. Ni kwa ajili ya mwanzo wako wa kuingia katika Amri za Freemason kwa utambulisho mpya utakofanyika kesho saa 6 usiku. Hiyo pesa ni kwa ajili ya nauli tu. Nitakutumia zaidi kwa ajili ya mavazi maalum. Sisi ni matajiri wa ufalme huu na tunakusubiri katika huu ufalme.

Yafuatayo ni masharti, wiki mbili baada ya utambulisho mwanafamilia wa karibu zaidi na moyo wako akakufa, hii itafungua njia ya utajiri na utakuwa na uwezo wa kuruka usiku kwenda sehemu yoyote duniani.

Natanguliza shukurani. Lakini kama ikitokea haupo tayari kujiunga, tafadhali rudisha pesa la sivyo utakuwa shoga ndani ya saa 24 zijazo na baadaye utakufa siku tatu zijazo!’

Dakika tano baadaye, jamaa akapata ujumbe unaosema:

‘ Tafadhali tuma milioni mbili zingine, rafiki yangu naye anahitaji!’

Jamaa akazimia. Usicheke peke yako watumie na rafiki zako!
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
6,641
Likes
3,598
Points
280
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
6,641 3,598 280
Eh! Kashapoteza tayari
 
longi mapexa

longi mapexa

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Messages
2,074
Likes
1,404
Points
280
Age
19
longi mapexa

longi mapexa

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2015
2,074 1,404 280
itakua alimtumia kaoge ....
 
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Messages
7,287
Likes
3,796
Points
280
misasa

misasa

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2014
7,287 3,796 280
Hahaha
 
Gulf5

Gulf5

Senior Member
Joined
Jun 20, 2016
Messages
120
Likes
51
Points
45
Age
30
Gulf5

Gulf5

Senior Member
Joined Jun 20, 2016
120 51 45
Haahaaa alidhani ataigopa chezea hela weeeyeee
 
Mti Mtu

Mti Mtu

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Messages
1,323
Likes
220
Points
160
Mti Mtu

Mti Mtu

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2011
1,323 220 160
Hiii Kali ya mwaka
 

Forum statistics

Threads 1,235,935
Members 474,901
Posts 29,240,907