Recent content by KASIYASURE

  1. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

    Kiitifaki mkubwa akishaongea mdogo harusiwi kuongea kitu. Kwa tukio la leo alitakiwa akae kimya Mbowe angee akiwa ndio bosi wa chadema kitaifa. Kumbuka watoto wale sio wa Arusha tu wapo pia wanaotoka mikoa mingine. RC hajakosea chochote Lema ni mtu wa kulalamika lakini kwa leo hayupo sahihi...
  2. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni 'Threat to National Security', Mamlaka husika zimdhibiti

    Ushauri wangu kwenu wakuu ni kwanguzeni kulalamika na kaulaumu tu bali toeni mawazo ambayo mhusika yanaweza kumbadilisha ili aendane na matakwa yenu. Naogopa sana kuona kama jamii forum itakuwa ni uwanja wa kulalakia na kuchambua maisha ya watu. Tunakosea sana, tena sana!
  3. KASIYASURE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Daktari afumwa akila uroda na mgonjwa.

    Mungu wangu, hivi hii ndio kazi ya madaktari?
  4. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    Watanzania tubadilike tuache kufuata upepo na kwenda mahali tusikokuja! Wanasiasa acheni kutupoteza.
  5. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Forget Magufulisation, here is the reality

    Tatizo humu ndani kuna watu wengine uzalendo hawana kabisa wao kila kitu ni nikupinga tu lakini hawaonyeshi njia ya nini kifanyike. Matusi, kejeli na dharau kamwe haviwezi kujenga nchi hii, bali ni hoja nzuri na zenye mashiko ndizo zitakazoijenga nchi yetu. Hebu badilikeni ninyi watu wenye...
  6. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Alaaniwe aliyeleta tabia ya KUSUSA/KUZIRA kwenye vyama vya upinzani

    My dear freinds running from the problem is not the way of solving problem. You must fight with it until the end.
  7. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania The English of the Tanzanian President Magufuli

    We can not discuss what we can not change. Every person has got his own way of speaking. That is what we call "Pecularity"
  8. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif kutumbua nyongo kesho

    Basi tuiombee sana Zanzabar ili isiingie kwenye machafuko. Uhai wa watu ni wa muhimu sana kuliko hata siasa.
  9. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif kutumbua nyongo kesho

    Maalim anawadanganya wenzake na huku yeye anaendelea kula mafao. Kimsingi yeye sasa hivi amegeuka kuwa burudani ya kuwaburudisha wana jf kwa maigizo ya matamko walio wajinga wanaendelea kuburudika. Namshauri atafute namna nyingine na kujipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2020. Kwasasa hawezi...
  10. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Impact ya fedha za MCC katika bajeti ya 2016/17

    I real appreciate for your good clarification! Hizo ndio hoja za kujadili sio majungu kila wakati.
  11. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Said Soud na Hamad Rashid kuteuliwa uwakilishi!

    Kama wakikubaliana vizuri waache waunde serikali. Lengo ni kuwatumikia watu na si vingenevyo.
  12. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ashindwa kushiriki kazi za Kamati

    Daah! Pole sana Mnyika Mungu akuponye haraka urudi kupiga kazi. Taifa linakutegemea sana!
  13. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini: REA haijawahi kupata fedha za MCC

    Wakala wa nishati vijini REA wamesema hawajawahi kupata pesa za shirika la MCC la Marekani lililokatisha msaada wa Trilioni moja kwa Tanzanihivyo haitowaathiri.
  14. KASIYASURE

    JamiiForums Tanzania TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

    Aiiiibu jamani! Hawa wabunge wanatakiwa wawajibike haraka sana.
Back
Top Bottom