Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
- Thread starter
- #61
Haya sasa...naendelea kukumbushia tu uhalisia wa mambo yalivyo mtaani na siasa za matukio za mtukufu Rais.
Hapa inaonyesha kwamba hospitali ya Bagamoyo ina uhaba wa maji, hadi manesi wanatumia maji ya dripu kujisafisha pindi wamalizapo kuhudumia wagonjwa.
Tuendelee ku-Magufulika na kuwehuka tu huku hali ya huduma za afya ikizidi kudorora.