Recent content by kasitile

  1. kasitile

    Top 100 Colleges and Universities in Africa by University Web Ranking... CHECK out UDSM is # 6

    Hivi mnajua Tz hatuna mtaala wa elimu.Enyi endeleeni kujifia na mavyuo hayo.
  2. kasitile

    Tafadhalini sana,naomba msaada

    Pole na majukumu wakuu! Naomba msaidie/kunipa ushauri kuhusu hili Mwaka 2011 mama yangu mzazi (ana miaka 50) alipata tatizo la kutokwa na damu mfululizo kwa muda wa miezi 6.Ilikuwa hivyo kwa sababu alificha tatizo.Lakini baada ya kutambua hilo,alienda hospitali na kupatiwa dawa,ambazo...
  3. kasitile

    Wenyeji wa rungwe-mbeya au yeyote!

    Napatikana kwa namba ya simu 0753-204911.Nitafute.
  4. kasitile

    Tafadhali ndugu zangu naomba mnisaidie.

    Nashukuru sana ndg yangu kwa maelezo yako ambayo yamenipa mwanga.Nitajitahidi sana kuzingatia yote hasa kwenda Hospitali.Nashukuru sana na Mungu akubariki.
  5. kasitile

    Tafadhali ndugu zangu naomba mnisaidie.

    Asante ndugu yangu,Mungu akubariki
  6. kasitile

    Tafadhali ndugu zangu naomba mnisaidie.

    Nashukuru ndugu yangu kwa ushauri wako!Asante sana
  7. kasitile

    Tafadhali ndugu zangu naomba mnisaidie.

    Asante mkuu kwa ushauri wako
  8. kasitile

    Tafadhali ndugu zangu naomba mnisaidie.

    Nakushuru kwa ushauri wako mdau.
  9. kasitile

    Tafadhali ndugu zangu naomba mnisaidie.

    Poleni na majukumu ya kila siku wadau. Naomba mnisaide wadau.Mke wangu ana mimba ya mwezi mmoja na nusu.Lakini tatizo kubwa ni kwamba anaumwa sana kiuno na tumbo na damu kidogo kidogo hutoka.Hali hii inatuchanganya sana,na kwa kuwa niko mbali sana na sehemu za huduma,hivyo kabla sijaanza safari...
  10. kasitile

    Suala la posho ni tatizo zaidi ya tujuavyo

    Kuusema ukweli kunahitaji nafasi?Wakati mwingine tunatakiwa kujitambua na kutoa hoja ambazo zinajenga.Na kama huna la kuchangia ni vema ukapotezea.Kimtokacho mtu ndicho kimjaacho.Inawezekana unaa element za kike ndio maana unasema ni wivu wa kike.Kitu cha msingi ni kwamba niliyoyasema ni ya...
  11. kasitile

    Suala la posho ni tatizo zaidi ya tujuavyo

    Nchi hii inateketea,kila kona kuna ubadhirifu kutoka ngazi ya kijiji hadi Ikulu.Tunahitaji kujikana wenyewe ili tuepukane na hali.
  12. kasitile

    Suala la posho ni tatizo zaidi ya tujuavyo

    Habari wa JF. Katika kikao cha bunge kilichopita,suala la posho lilileta msuguano sana hasa kwa vyama vya CHADEMA (isipokuwa Shibuda) na CCM.Katika hilo,Mhe.Zitto Kabwe alikataa kuchukua posho ya vikao suala ambalo lilipelekea msuguano na Spika wa Bunge Bi.Anne Makinda.Baada ya hapo ikawa ni...
  13. kasitile

    Nape na madai ya uchagga ndani ya CHADEMA

    Hata kama alisema,hayo mambo ni irrelevant kwa sasa.Uwezo wa mtu haupimwi kwa kabila wala dini.
  14. kasitile

    Serikali ya Kikwete lazima ifunge mkanda

    Wakati wa Mdororo wa Uchumi ulioikumba Marekani na nchi za Magharibi kati ya mwaka 1929-1933,kuna shujaa aliibuka.Franklin Delano Roosevelt ambaye wakati huo alikuwa anagombea urais wa Marekani alikuja na mikakati kabambe ya kuinua uchumi,mikakati hiyo inajulikana kama "NEW DEAL",mipango hiyo...
  15. kasitile

    Maandamano ya CHADEMA kesho vipi?

    Acha ushakunaku!mliiza swali anataka majibu ya uhakika kutoka viongozi wa CHADEMA.Mbona unashoboka,kwani lazima ucoment kila kitu?
Back
Top Bottom