Maandamano ya CHADEMA kesho vipi?

Maandamano ya CHADEMA kesho vipi?

Uhalisia ni kuwa CDM wamekosa cha kupigia debe mara baada ya serikali kuutoa Msuada wa Kuunda Tume ya Marekebisho ya Katiba bungeni. CDM wamepigwa bao peupe

Acha ushakunaku!mliiza swali anataka majibu ya uhakika kutoka viongozi wa CHADEMA.Mbona unashoboka,kwani lazima ucoment kila kitu?
 
Nimepata taarifa leo kuwa maandamano yapo hapa Mbeya tarehe 6/5/2011 (Ijumaa) hapa Mbeya. Awali ilikuwa yafanyike kesho tarehe 4/5 nadhani ni kwa sababu ya kikao cha Baraza Kuu ikasogezwa mbele
 
faida ya haya maandamano ni yapi nyie wana cdm
Mara hii mmeshaanza kulia lia hata kabla ya moto wenyewe ukitaka faida yake muulize Wassira akusimulie yale ya Mwanza naona karibu nayeye ataanza kulialia kwenye TV.
 
Kama ni kweli! Basi historia itawahukumu vibaya sana hawa viongozi legelege wanaocheka na mustakabali wa taifa.
Haki ya mtu haiombwi, enye wana-intelenjensia lijueni hilo; hakuna bomu lililowahi kuzima haki ya mwanadamu; na halitatokea kuwepo.
 
Nimemis sana mabomu natamani kuja mbeya.
PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZ.
 
faida ya haya maandamano ni yapi nyie wana cdm
<br />
<br />

Nafikiri PM anaweza kuwa na jibu nzuri kuhusu hili swali. Maana kama sikosei aliibuka Kagera na kutangaza kushushwa kwa bei ya sukari, natumai kuna kitu kilimsukuma kutoa hayo maagizo.
Hivi ankara ya dowans mara baada ya kesi imekwisha lipwa au serikali imetimiza maagizo iliyopewa kwenye haya maandamano ya kutoilipa dowans.
Ninawaza kwa sauti.
 
Nimeshajipanga kugawa maji 10 litres kwa kila atakae andamana, nimejipanga vyema kukabiliana na mabomu hivyo wana CDM mcjali
 
usiogope kwasababu haya mabomu yana mwisho.hata hao wanaoamrisha/ruhusu watumizi ya mabomu kwenye maandamano ya amani wanaelewa kwamba upo mwisho na huo mwisho haupo mbali.na watajutia.

viongozi wa chadema
msiogope tuko pamoja nanyi kimwili lakini zaidi tupo pamoja kiroho.kuna siku tutapata ushindi.
 
Kama Lema atashiriki hayo maandamano Zitto hatohudhuria.

Hii aihitaji logic ni uhalisia tu kwani tofauti ya Zitto na Lema ni hii.

Zitto-Ana kinyongo,na pia ni 20% follower (yanini malumbano,bora nitulie,nijiweke pembeni..............nendaaaaah).

Lema-hajali lolote ni Mr. sugu follower (kwani wananijua Sugu ni mtu wa mavurugu.......linga baby kama unavyolingaga....... lingaaaa).

umenikumbusha mbali sana, sugu dume la mbegu
 
Human progress is neither automatic
nor inevitable... Every step toward
the goal of justice requires sacrifice,

suffering, and struggle; the tireless
exertions and passionate

concern of dedicated individuals.

Martin Luther King, Jr.
 
Mbeya na vitongoji vyake kaeni mkao wa kiukombozi tar6/may makamanda watawakilisha ni ile ile nguvu ya umma inayomnyima usingizi mkuu wa kaya na vibaraka wake...
 
kama kawaida ntaliunga mtaani, liwalo na liwe maisha yenyewe haya magumu
 
Back
Top Bottom