Mbwa kabisa hawa. Watakuwa walitumwa wakamchafue wakashindwa. Mbona wamesubiri amekufa. Na si ajabu ndo yamemuua ili yakaharibu kanisa lake.
Mbona wasifanye documentary ya watu waliopona au kusaidiwa wanatafuta mabaya? BBC ni chombo cha Watu wakubwa wanaosambaza one world government na ni...
Kilabu cha siasa kikoje? Waraka waliandaa wote wengine wakaenda kinyume, Shoo ni kiongozi unataka afanyeje? Nay anaongozwa na katiba, au unadhani ni serikali yenu hii ambayo imeweka katiba pembeni?
Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception hasa katika mitandao. Na je penalty zake zikoje. Je naweza kupata document yoyote nikasoma kupata ujuzi? Naomba msaada maana kuna mtu ameni-deceive.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.