Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception Penalty

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception hasa katika mitandao. Na je penalty zake zikoje. Je naweza kupata document yoyote nikasoma kupata ujuzi? Naomba msaada maana kuna mtu ameni-deceive.
 
Sheria za kuwalinda nyie ma consumer zipo nyingi sanaa bro toka engo tofauti tofauti, na hata kwenye makubaliano ya biashara zenu endapo mmoja wenu atakua nje ya nchi, vile vile kuna weza kukawa na matatizo kati yenu na agencies au wakala wa agency flan ambae mwisho wa siku yanatokea ya kutokea... Sasa tukisema tukupe materials ya sheria na ikiwa wewe hauna ujuzi huo ni wazi utakua unajipoteza tu bure, wewe sema ishu nzima then ushauriwe directly... Humu hatutozi consultation fee, ni bure tu.
 
Najaribu kutafuta inbox nimeshindwa. Wapi naweza kukupa issue yangu private, uone kama ina mashiko.
 
Back
Top Bottom