Nimependa sifa ya mwisho ..."anasikiliza". Hiyo nadhani wengi tunaijua. Anasikiliza anachoambiwa na mkuu wake hata kama si job-description yake. "Zuia maandamano, sema kua habari za kiintelijensia, ua watu, mwagia maji ya pilipili, bambikiza kesi nk" Kweli anasikiliza sana Mwema ila hana maamuzi...