heslb wanazingua bax c wangechuna 2 ka walikuwa wanajua kwmb bdo hawajaweka ..habari gan hizi wana2alert afu hamna ki2..mi i thnk they r nat siriaz mkurugenzi unatangaza tena bila uwoga afu mambo bdo..nchi ishakuwa ya kike ka vp let us make movment 4 change.
nini!? supastaa!. Unamjua jack chan,jet lee wale nao wasemaje..mbna wao wanaongea lugha yao ijapokuwa wanafanya kazi huko marekani..huo ni unyonge tunaojiwekea wa africa..mi nina ndgu yangu ameishi huko miaka 12 bila kurudrudi tz ila sasa hivi amerudi na anakichapa kisw kama kawa tena mpaka...
Wale mawaziri waliotakiwa kujiuzulu yasemekana wameamua kujiuzulu so as wasimuweke waziri mkuu pabaya.taarifa rasmi itatolewa na waziri mkuu baada saa saba mchana..,zakia maige,lazaro nyarandu,chami,haji mponda,ngeleja,omari nuno.mukulo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.