wanafunzi watano wa chuo........! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanafunzi watano wa chuo........!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Pindima, Sep 12, 2012.

 1. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wanafunzi watano wa chuo kikuu kimoja
  hapa nchini walikuwa wanatakiwa
  wafanye mtihani siku ifuatayo. Wale
  wanafunzi wakanywa pombe mpaka saa
  nane usiku. Siku ya mtihani wote wakawa na uchovu
  wa hangover,hivyo wakashindwa kwenda
  kufanya mtihani. Wakatunga uongo wa kuenda
  kumwambia Lecturer wa somo
  husika.Wakaenda kumdanganya Lecturer
  kuwa walishindwa kufanya mtihani kwa
  sababu jana walienda harusini na wakati
  wanarudi gari lao likapata pancha na wakavamiwa na majambazi wakawapiga
  na kuwaibia. Yule Lecturer akakubali na akawapa siku
  tatu za kujiandaa kwa Special exam. Siku ya mtihani special,Lecturer aliwapa
  ma paper na kuwasimamia mwenyewe.
  Mwongozo wa mtihani ulikuwa kama
  ufuatavyo; 1.Mtihani huu ni kwa wanafunzi watano. 2.Majibu yao yote yafaa yawe
  sawa...yakiwa tofauti watapata zero na
  kufeli. 3.Mtihani huu una maswali matano na
  yote lazima yajibiwe. Maswali ya mtihani yalikuwa hivi: 1.Harusi ilifanyika sehemu gani? 2.Gari mliotumia mpaka mkapata pancha
  inaitwaje? 3.Ajali ilitokea eneo gani? 4.Nani alikuwa dereva? 5.Tairi ipi ilipata pancha...ya mbele au
  nyuma? NAWATAKIA MTIHANI MWEMA.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,822
  Trophy Points: 280
  Daaaaaah hapo lazima walifeli haiseee!
  Duuuu huyo lecturer aliweza sana!
   
 3. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Haha kawawezea kweli.yani
   
 4. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,363
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  "njia ya mwongo fupi" walinena wahenga!
   
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Hapana,
  najua hauwez tunga jambo la uwongo pasipo kujipanga.
  Ni lazima walijipanga tu.
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,744
  Likes Received: 12,822
  Trophy Points: 280
  Wangu hapo ni ngumu sana kujipanga na aina ya maswali walio pewa ningumu kuwa walijipanga kwa hayo!
  Lazima ilikula kwao.
  Kumbuka majibu yao lazima ya fanane!

   
 7. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Hao wanafunzi wangekuwa wajanja wangepeana signal za kugomea huo mtihani. Sababu ni rahisi tu, kwamba mtihani lazima utoke kwenye syllabus. Academic admnistrator anayejua academics ataona hiyo reason ina uzito.
   
 8. k

  kasiasa Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  walijipanga kudanganya lakin hawakujipanga kujib maswali ka ayo waliyoulizwa...
   
 9. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nakuunga mkono, hawawezi kujipanga kwa hayo maswali yalivyoulizwa.
   
 10. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  Ilikula kwao lazima
   
 11. Penguin-1

  Penguin-1 JF-Expert Member

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hii pepa tungepiga 100%
   
 12. h

  handboy Senior Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  What do you learn from this uziiii! Safi sana lecturer
   
 13. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ukiwa muongo watakiwa uwe na kumbukumbu nzr.
   
 14. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  acha wewe hapo lazima mjichanganye.
   
 15. salito

  salito JF-Expert Member

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  Safi sana mwalimu,komesha wanafunzu wavivu..
   
 16. Bladerunner

  Bladerunner Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  haahahahah..Hapo kufeli ni guaranteed!!
   
 17. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,318
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Natoka nje kimya kimya na paper mfuko wa nyuma, answer sheet naacha mezani.
   
 18. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  ka nshawahi isoma humu jamvini
   
 19. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  itakua ushaamua kujifelisha.
   
 20. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,491
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  co kiasi cha kuweza kujibu maswali yote bila kukosea
   
Loading...