Recent content by kashwagala

  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imchunguze Mohamed Mtoi

    Ludovick unaparangana kweli,kule umeambiwa ulete ushahidi umekimbia,kwa hiyo umehamishia upuuzi wako huku?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

    Binafsi sijaelewa point yako hasa ni ipi,kwani pale ITV hakuna sheria za kazi? au huyu Rweyunga ndo mwenye kampuni? na vipi Morogoro upaite ukimbizini? Inaonekana una mengi ya kutuambia tukaelewa lakini unadonoa donoa tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Agiza simu yoyote original /tablet unayoitaka kutoka Ebay/ U.S.A!

    Mkuu,nimecheka kweli ulivyokataa haraka haraka kwamba 15% bado haijajumlishwa,by the way nimeipenda sana hii idea.Nimesave mawasiliano
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

    Mkuu umetiririka kwa uzuri kabisa....wakupe Kinana ya baridi,mwambie aweke kwenye bill yangu
  5. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    DU...umeniwahi mkuu,hapa nilikuwa najiuliza hawa jamaa vituo 4 tu muda wote huo?watufungie hesabu bwana tumuinue mshindi wetu juuu juuu....
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hii imekaa vizuri sana.....Bravo CDM
  7. K

    JamiiForums Tanzania CCM yashinda udiwani kata ya Vijibweni - Kigamboni

    Taratibu kaka...usimuunganishe Mungu na matusi,atakuLusinde...!
  8. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Unajua nilipoisikia ile clip ya matusi ya Lusinde nishaanza kuhisi kitu -kwamba hawa jamaa maji ya shingo.Ingawa huyu Lusinde kuna haja ya kushinikiza achukuliwe hatua maana yale matusi kwa kweli hayavumiliki na hayaleti impression nzuri kwenye jamii tunayotaka ibadilike kwa kuwaamini vijana...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Hongera sana makamanda wetu mlioko Arumeru kwa ushindi huu mnono.Hongera makamanda wetu wa Mbeya na Kirumba Mwanza kwa kufanikisha ushindi wa viti vya udiwani.Hongera watanzania wapenda mageuzi hasa wanaJF kwa sala zenu na hatimaye Mungu ametusikia.HAIKUWA RAHISI.Tunajua ilikuwa ni mapambano ya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    eto Nishatune ITV,Renatus Mutabuzi yuko hewani na matokeo ya kata ya majani ya chai...CDM wanaongeza kwenye vituo vya kata hiyo kwa idadi kubwa ya kura, anasema wazee kadhaa wa CCM wamekamatwa na sanduku la kura 1000 wako police,Mungu atujalie
  11. K

    JamiiForums Tanzania Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

    Kwa mfano mimi leo ndo najua kuwa hilo eneo la ajali ni baya sana,ina maana bila huu mjadala nisingefahamu.So ndugu tuna majonzi lakini yale ya msingi tuyajadili tu ili tuendelee kujiokoa wenyewe maana tukiwategemea wenye mamlaka bado wako likizo ya x mas na mwaka mpya.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Regia alikuwa anaendeshaje gari? Wakati mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu?

    Bigirita hata mimi umenikera,muungwana ukikutana na hali kama hiyo vuta pumzi juu alafu ishushe na ujipitie tu hutakuwa umekosea kwani humu JF si kila liulizwalo lina jibu maana wengine wametumwa.Sasa nawe watutoa kwenye msiba kwa matusi yako,jirekebishe.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tangu lini gazeti la majira mmeanza udaku?

    Ngoja nilitafute nijionee....kwa sasa naomba kupita kwanza
  14. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la 'HabariLeo' na taarifa ya kifo cha Mh. Mtema

    Hilo nalo neno....!
  15. K

    JamiiForums Tanzania African Millionaires: Ali Mufuruki

    Natamani sana kujua historia yake,Ali Mafuruki katokea wapi,ujasiriali kauanza lini?maana mi ananikonga sana kwenye vipindi vya Televisheni namna anavyojua kujenga hoja.Mfano,ni kama wiki mbili zimepita kwenye kipindi cha This week persepective cha Adam Simbeye TBC1 wakiongelea shilingi kushuka...
Back
Top Bottom