Unaweza kuwa ushauri mzuri unaoutoa ila nina wasiwasi na Kama unautoa kutoka rohoniKwa status yake ya ubunge hakustaili kuendesha gari tena kwenye safari ndefu. Alishindwaje kutoa ajira kwa dereva?
kayagila,nimeona na kin pasco na wengine waliokusapoti juu ya kuuliza swali,lakini najua mnachikitafuta,ila jaribuni kuwa binadamu,na kama jambo halikukugusa nadhani busara ya kuwaacha wale liliowagusa wakaomboleza bila bughudha au bila kuongezewa uchungu ingrlifaa sana,maana huko ni kuchokonoa ili ujue,nadhani muda huu ni watu kupeana maneno ya kufarijiana,maneno ya upendo,sehemu pekee ambako matendo kama yako yanafanyika kipindi hiki cha majonzi ni kule hospitali kama watakuwa wanauchunguza mwili wake au polisi kama watakuwa wanachunguza chanzo cha ajali.
Hapa tupe muda wa kuomboleza na kufarijiana kwanza kama ilivyo kawaida ya watanzania,kama mila na desturi zetu zilivyo.
Haiingii akili leo unaanza kuuliza maswali hayo,nilidhani kwa busara za kawaida tu na kwa mtu mwenye ubinadamu ungelikuja na hoja ya kutaka mazishi lini,wapi,je kama ni mbali kuna usafiri kwa jamaa na marafiki?je kama member wa jf rambirambi itakuwaje?au je nitafikaje nyumbani kwenye msiba?lakini cha ajabu wewe na wenzio wachache tunaowajua upande wenu mnaanza kuchokonoa vijimambo hata dada yetu hatujamzika,kwngu mimi hii ni mbaya sana,sipendi !
Kila ajali inachanzo chake cha ajaliMkuu
marehemu mh wangwe alikuwa anaendesha yeye ??
Yule mbunge aliesonga mbele na mkewwe wa cuf nao umeambiwa waliendesha wao ??umejiuliza kwa ni ni na pamoja walikuwa na miguu yote ok
namaanisha mungu akikupenda aijalishi uko wapi unaendesha wewe dereva...tuache tuhuzunike then uje ijumaa tafadhali tukusaidie jibu lako
mkuu, swali la huyu bwana ni la kijinga na la maudhi at this perticular time. Anisamehe kama nimemkwaza, kwa bahati mbaya wengine wetu kifo chake kimetugusa kiasi ambacho discusion ya namna hii inaweza ikapelekea kichapo kama angekuwa karibu.
Umepitwa na wakti ww, nenda pale nssf akiba ulizia mlemavu anaendesha gari,Nimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono maana mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu sasa brake accelerator angewezaje kuzikanyaga au ilikuwa LHD? ni risk sana kuendesha gari kwa mtu ambaye ni physically challenged in udadisi tu
swali zuri, ila naona watu wanataka kuchanganya na uchungu wa msibaNimesikitishwa na taarifa za msiba wa muheshimiwa Regia Mtema, inasemekana alikuwa anaendesha gari yeye mwenyewe sasa mimi najiuliza hivi gari hiyo ilikuwa ni ya buttons za kubonyeza kwa mkono maana mguu wake wa kulia ndio wenye ulemavu sasa brake accelerator angewezaje kuzikanyaga au ilikuwa LHD? ni risk sana kuendesha gari kwa mtu ambaye ni physically challenged in udadisi tu
Nothing special kuna add on gudgets kwa ajili ya vilema, vinawekwa mlemavu hata kama hana miguu anaendesha kama kawaida mradi awe na mikono safi, all controls anatumia mikonomkuu kuna magari automatic special kwa vilema nadhani hata hiyo gari yake ilikuwa hivyoo sawa mkuu..
Kayagila,nimeona na kin Pasco na wengine waliokusapoti juu ya kuuliza swali,lakini najua mnachikitafuta,ila jaribuni kuwa binadamu,na kama jambo halikukugusa nadhani busara ya kuwaacha wale liliowagusa wakaomboleza bila bughudha au bila kuongezewa uchungu ingrlifaa sana,maana huko ni kuchokonoa ili ujue,nadhani muda huu ni watu kupeana maneno ya kufarijiana,maneno ya upendo,sehemu pekee ambako matendo kama yako yanafanyika kipindi hiki cha majonzi ni kule hospitali kama watakuwa wanauchunguza mwili wake au polisi kama watakuwa wanachunguza chanzo cha ajali.
Hapa tupe muda wa kuomboleza na kufarijiana kwanza kama ilivyo kawaida ya watanzania,kama mila na desturi zetu zilivyo.
Haiingii akili leo unaanza kuuliza maswali hayo,nilidhani kwa busara za kawaida tu na kwa mtu mwenye ubinadamu ungelikuja na hoja ya kutaka mazishi lini,wapi,je kama ni mbali kuna usafiri kwa jamaa na marafiki?je kama member wa JF rambirambi itakuwaje?au je nitafikaje nyumbani kwenye msiba?lakini cha ajabu wewe na wenzio wachache tunaowajua upande wenu mnaanza kuchokonoa vijimambo hata dada yetu hatujamzika,kwngu mimi hii ni mbaya sana,sipendi !
Umepitwa na wakti ww, nenda pale nssf akiba ulizia mlemavu anaendesha gari,
Tena gari yenywe mbenz!!!
Utaonyeshwa kijana niliyesoma nae, tukiwa shule alikuwa akitamba kwa magongo hadi leo hii.
Cha ajabu nini hapo?
mimi nilishasema, kuna watu humu their not real intellectualls............ mtu kauliza, ajibiwe kisomi ila still kuna mtu anakurupuka na kujibu ovyo kitu kinachofanya sometym watu wadharau JAMII FORUMSasa hapo karopoka nini?na upuuzi wake ni upi?Naamini majibu ya swali lake ni muhimu sana.
Wabongo bwana COMPLICATIONS kibaooo,sawali la kawaida hata mi najiuliza sasa cha ajabu nn?kwani kuna siri kama muheshimiwa Regia alikuwa mlemavu?kwani kuna tatizo gani kuuliza sasa huvi mbona misibani watu wanauliza marehemu kafaje?acheni kuleta siasa kila sehemu...wote mliokwazika ni CRAAP !wewe Brigita na wenzio!aliyeuliza thumbs Up!
Mkuu unahita investigation gani iwapo taratibu zipo wazi kabisa mtu mwenye hali kama yake anatakiwa kuendesha gari lililokuwa modified kwa hali yake, Gari alilokuwa anaendesha halikufanyiwa chochote.mpaka sasa, zaidi ya kusema swali la mleta hoja lijibiwe, nani kajibu??
Issue ni kwamba amekuwa akiendesha gari, kama wabunge wengine ambao wanaendesha magari safari fupi na hata ndefu. Kama mguu wake ndio uliosababisha, that is yet to be invdstigated.....ever heard of accident investigation? With proper simulation of various assumptions that are scientifically proved. Kama that is not done, basi hakuna aliye na mamlaka ya kufanya assumption ya 'kilicho sababisha ajali au kilichochangia ajali'.
mkuu, swali la huyu bwana ni la kijinga na la maudhi at this perticular time. Anisamehe kama nimemkwaza, kwa bahati mbaya wengine wetu kifo chake kimetugusa kiasi ambacho discusion ya namna hii inaweza ikapelekea kichapo kama angekuwa karibu.