Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Kulala Bila Kuvaa Nguo Yoyote

Maisha hayo ya kukurupushwa hayako applied kwa maisha ya kila mtu babu, wengine tunakaa kwenye nyumba zetu wenyewe na kuna amani. Pole sana, I hope unalala na viatu pia kwa kuogopa kukurupushwa
unayakumbuka mabomu ya mbagala........ikitokea situation kama hiyo je?......utakumbuka nguo.....?......hapo nyumbani umepata tatizo unaweza usikumbuke nguo..........
 
Mimi nalala uchi, lakini sio wa mnyama kama ulivyosema bali uchi wangu mwenyewe. Nalala uchi kwa sababu hata mchana navyovaa nguo huwa navaa kwa sababu ya kujisetiri. Sasa sijui nikiwa chumbani kwangu, sina safari wala mgeni unataka nivae nguo ili iwe nini.

Kipindi nasoma, nilikuwa nakaa chumbani na taa yangu ya mezani uchi na hapo na 'matirio' ndio yalikuwa yanazama ubongoni murua. Kukaa uchi raha bwana asikwambie mtu, seuze kulala?

Kwa namna ile unavyoipumzisha miguu yako kutoivalisha mibuti unapokuwa ndani basi ndio unatakiwa uutendee haki uchi wako unapokuwa room. Ni ufisadi mkubwa kupeleka sura beach kupunga hewa huku uchi hauna hata nukta ya kupunga hewa

Mkuu umetiririka kwa uzuri kabisa....wakupe Kinana ya baridi,mwambie aweke kwenye bill yangu
 
Back
Top Bottom