Recent content by kashinje juma

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumrithi IGP - Simon Sirro?

    Athumani diwani.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ameandika Tundu Lissu akiwa Ubelgiji

    Mwanasheria binafsi wa AKASHIA.LISSU HUYO.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

    Wewe ni mshukiwa namba moja.hili andiko lako linawatia hofu watu wasitoe taarifa km wanajua mo alipo.nn hasa lengo lako?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu Lema; taarifa za utekwaji "MO" zilete Central; Kufanya mkutano hauruhusiwi kisheria na utakamatwa

    Azileta kwenye mamlaka au azipeleke kwenye mamlaka?! Lipi sahihi hapo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nyerere aweza kuwa mtakatifu wa kwanza Tanzania?

    Ni kweli ni ujinga wa kiwango cha juu.hata hawa mitume na manabii nao ni ujinga tuu.walishakufa.hata babu zako ni upumbavu tuu kuwakumbuka.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Madiba na Mwalimu nani alikuwa zaidi

    Jibu alilitoa madiba mwenyewe akiwa anapokea tuzo ya Nehru nchini india.ya kuwa nyerere ni zaidi ya kiongozi.na nimakosa kumlinganisha nyerere na mm.bira nyerere leo mie nisingekuwa madiba huyu mnaempa tuzo hii leo .mm ni zao la nyerere.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nani Kamteka Mo Dewji? Uchambuzi wa Kiintelijensia Kwa Kutumia Mbinu ya "Devil's Advocate"

    Umechambua vzr,lkn umejikwaa na ukaanguka na kupoteza kbs thamani ya andiko lako.ndani ya kichwa na fikra zako kumejaa chuki na kisasi.Daud arbert bashite pamoja na machafu yake yoote lkn hili hawezi kuhusika nalo hata kidogo.ila nafkr kuna maafisa usalama waliofukuzwa kz km kina chahari hawa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Dr bashiru amjibu lowassa kiume

    Gooood.hayo ndio mwazo mapana na nyoofu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa 3D na 4D

    inaonekana hata wewe huna jibu sahihi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa 3D na 4D

    Sisemi kuwa ina madhara yoyote.ila nataka nijue huyoo meyiii meyiii ni nani ktk umimwengu huuu?,!! Na ana mamlaka yapi ktk ulimwengu huu mpk jina lake litumike kufungua mlango wa jicho la tatu?!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa 3D na 4D

    Kila kitu kimegota na kusimama kwenye hiyo meyiiiiii meyiiiii.kw hiyo hata km utafuata hayo maelekezo mengine lkn ukakosea kwenye hiyo meyiiiii meyiiiii.hutafanya lolote.hivyo meyiii meyiiii ndio kila kitu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa 3D na 4D

    Hiyo meyiiiiii meyiiiiii maana ake ni nn??!! Na jina la nani hilo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Kinauzwaje mkuu,na ntakipataje?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    Pombe na bhangi hazijawahi kumwacha mtu salama.wewe na mwlim nyerere.hata asipohusika unalazimisha tu kumingiza.kw taarifa yako dharau yyako kw nyerere haikuondelei ujinga kichwani mwako.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kero hujuma ya maji kijiji cha Maganzo Kishapu Shinyanga

    Hujaeleza wamehusikaje ktk hujuma hii.ni kweli kw ss maji ni tatizo maganzo.lkn haya maji ni lini yamekuwa chini ya serikali ua kijiji?
Back
Top Bottom