Kwa Tanzania ilivyo unaweza kumpata Mo alafu ukaishia kufungwa bila hata kuigusa bilion hiyo

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,793
2,000
Sasa wewe ipe tabu familia yako watu waanze kusoma arobaini hata pasipo kuuona mwili wako
Ukiachilia watekaji,
Kwani kuna watu au taasisi ya uma isiyotaka kupatikana kwa MO dewji ?
Serikali itanitetea, na kunilinda.
 

pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
4,987
2,000
Ukiachilia watekaji,
Kwani kuna watu au taasisi ya uma isiyotaka kupatikana kwa MO dewji ?
Serikali itanitetea, na kunilinda.
Toa boko tu mkuu Mimi ninaziki kweli lakini hiyo billion siitaki hata kama namuona sitaki niipe tabu familia yangu mie
 

kashinje juma

JF-Expert Member
Apr 20, 2017
707
1,000
Wewe ni mshukiwa namba moja.hili andiko lako linawatia hofu watu wasitoe taarifa km wanajua mo alipo.nn hasa lengo lako?
 

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
978
1,000
Achen nizam ya uoga tuingien porin,

Kama wametoa dau bas wapo tayar kutoa ushirikiano

Mm ningepata vijana 5 tu wa kaz, MO tunaamka nae alfajir na swala
Nimpate IT (hacker uko n mbal sana)
Mcheza karate
Psychologist
Driver makn (kama wa fast and furious van diesel)
Team captain mm menyew
MO anapatkana ndan ya masaa 12
Unaangalia sana American Movies mkuu, those stunts do not exist in real world
 

supercharger GT

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
978
1,000
Kwa dhati kabisa hali hii si nzuri sana kwa Taifa letu,Hv polisi wetu wanamakosa gani mpaka wasiaminike kiasi hiki?Wengine wameenda mbali zaidi wakionyesha kuwa,ukitoa taarifa unaweza kuishia jela.

Naomba niwaeleze kuwa jeshi letu bado ni Imara,na liko tayari kushirikiana na Raia wema.Hivyo yeyote mwenye taarifa usiwe na shaka na utoaji wako wa taarifa.

Ni mimi mwananchi mnyonge.
Suala la kulazwa ndani halikwepeki mkuu...na pia 1Billion itamsababishia mtoa taarifa matatizo makubwa sana ambayo jeshi la polisi litamtema mbali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom