Kagame ni msomi!!?? Kidato cha nne na kukimbilia msituni??!! Mbona mbaropoka ropoka??!! Kweli jf ni mtandao huru, hata mapopoma wanaruhusiwa kuonyesha upopoma wao.kw taarifa yako ni kuwa kagame ni mmoja kati ya marais afrika wasio na elimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani hakuna vita amepigana peke yake akashinda.kama ipo niambiwe ni wp?.ussr ilishakufa.l,ikabaki kremline peke ake,na hii moscow ndio hupambana na ulaya nzima na marekani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mm nitafute ajira kw magufuli ya nn? Pamoja na kwamba rais wa nchi ndie mwajili mkuu..lkn mm mwenyewe natoa ajira kwa wengine.tena wasomi wakubwa wenye shahada.wewe nimegundua unakili mbilikimo na fikra zenye matege.bira shaka hizi hasira ni kupigika.ulofa unakusunbua wewe nguchilo mkubwa...
Mke wako km anakubali kununuliwa ili akusaliti,una mke hapo?! Yupi mwenye kosa kati ya yule anaenunuliwa na kumsaliti mme wake.au mnunuaji?!. Kama unakili wabunge wa chadema wananunuliwa!! Basi ipo kz.niambie pia bei ya chadema nzima ni tsh ngapi kw bei ya jumla mnadani!!???. Na km kweli chadema...
Mie naunga mkono.tundu lissu c mgonjwa tena.alishapona kitambo arudi awatumikie wapiga kura wake.hiyo nguvu anayotumia kuzunguka ulaya kushawishi tunyimwe misaada,angeitumia kuwapugania watu na nchi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila ninapozidi kuongea nawe unazidi kujidhilisha jinsi ulivyo.wkt mwingine c kosa lako, ni malezi,siwez kkutukana wewe,wala kkutukania mama ako.binachopenda kkuambia ni kuwa huna hata dini,mtu mwenye dini na mafundisho ya mungu hawez kuwa hivi.tuache kujadiliana na kuelimishana badala yake...
NAOMBA NIWE MKWELI KBS.TABIA ZA USALITI NA UHAINI MM NAZICHUKIA SAANA.HATA KUPIGWA RISASI KW TUNDU LISSU (KM KWELI ALIPIGWAVRISASI) MM SIJUTII HATA KIDOGO.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.