lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,481
mimi sio mrusi wa jf ,mimi ni msema kweli wa jf US akifanya vizuri nitasifu akiharibu nitasema,ila sehemu kubwa anaharibu,uonevu nadhuluma.
mimi sio mrusi wa jf ,mimi ni msema kweli wa jf US akifanya vizuri nitasifu akiharibu nitasema,ila sehemu kubwa anaharibu,uonevu nadhuluma.
Da ila wewe ni mtundu hatari
Umekula lkn leo?Kwani US anaogopa kuchapana na Urusi? mbona US ni World Super Power?wakati russia ni regional super power? hebu nifafanulie kidogo
Kw nn marekani hajaipiga cuba km hamwogopi mrussi?Ha ha haa,nato hawajachapwa.hata hivyo mie naona kama ma marekani hayamuogopi mrusi ila pengine yanaangalia kuna faida gani kupigana na urusi kwa sasa,kisa ni kuwatetea waasi wa syria,ndio yapoteze rasilimali na rasilimaliwatu wao.?
unajua pale nyumbu sio pa kitoto ww ukisikia zile habari za kimondo ziwa victoria?Da ila wewe ni mtundu hatari
US haihitaji kujisifu,lol ! wewe utakua sio raia wa dunia hii,hakuna nchi inayojisifi hapa duniani kama US,kwa kuonesha uwezo wao wa kijeshi kwa vinchi vidogo kama nk,somalia,iraq.libya,syria,kosovo.n.k,kwa kutaka kufaanya mazoezi ya kijeshi na vinchi mabalimbali,kwa matangazo yao mbalimbali,kupitia cnn,fox news ,abc,et.,washington post ,news week etc,
Zimbabwe wapigwe kwa lipi ndugu.
Nijuze chautundu,kiukweli ilinipitia kushoto habari hii.unajua pale nyumbu sio pa kitoto ww ukisikia zile habari za kimondo ziwa victoria?
ukusikia ule urafiki tata na north korea ambao CIA waliupigia yowe
Sent using Jamii Forums mobile app
hili halina ubishi kiongozi,hata movies zao nyingi zinzjieleza.Bingwa wa propaganda ni usa huwa anajisifu sana kupita kawaida
ni kuwa pale nyumbu kuna silaha hatari zinaundwa na moja ni hiyo missile inayodaiwa ni kimondoNijuze chautundu,kiukweli ilinipitia kushoto habari hii.
kweli,kuna wakati wa USA,walianzisha propaganda kuwa kisiwa cha cuba kitazama baharini kwa sababu ya uzito wa masilaha waliyolimbikiza.ha ha haa
dah umenichekesha saana kuwa kisiwa kitazama dahkweli,kuna wakati wa USA,walianzisha propaganda kuwa kisiwa cha cuba kitazama baharini kwa sababu ya uzito wa masilaha waliyolimbikiza.ha ha haa
Kwa iyo unataka makosa makosa yafanane!! Kama ndo hivyo Iraq aliangusha ndege ipi ya US?! Haya uturuki alidungua ndege ya urusi, Israel alisababisha ndege ya urusi ikadunguliwa, hii inaonyesha Russia anaogopa US ndo maana hakuzivamia turkey na Israel. We Mrusi usije ukanambia waliomba msamaha teh! Warusi buana!Zimbabwe wapigwe kwa lipi ndugu.
Katika mgogoro wa Cuba,CUBA ama URUSI walifikia hadi kuangusha ndege mbili za upelelezi za US na kupelekea kufa kwa rubani mmoja na US wakaufyata.,Zimbabwe wamefanyaje?
hyi huwa inawageuza watu kuwa misukule kabisa nadhani ndio BUK hatari zaidiUsisahau BUK-7 ya lumumba ni hatari sana
kote hakufai
Daa ujue mungu anakuona haaaaa!US haihitaji kujisifu,lol ! wewe utakua sio raia wa dunia hii,hakuna nchi inayojisifi hapa duniani kama US,kwa kuonesha uwezo wao wa kijeshi kwa vinchi vidogo kama nk,somalia,iraq.libya,syria,kosovo.n.k,kwa kutaka kufaanya mazoezi ya kijeshi na vinchi mabalimbali,kwa matangazo yao mbalimbali,kupitia cnn,fox news ,abc,et.,washington post ,news week etc,
kubwa kuliko yote hollywood movies ni balaa,kila movie ya vita au ujasusi,ni wao tu hushinda ingawa historia zinaonesha vita nyingi walishindwa,
hotuba za viongozi wao nyingi ni kusema kuwa "US ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi,kuliko taifa lolote hapa kwenye sayari ya dunia" ,'we are the super powers",make Amerika great again',n.k
kujiona linaweza kulipiga taifa lolote hapa duniani wakati kuna mataifa wamesanda,
kuonesha ama kupeleka masilaha yao kama ma aircraftcarrier kwa vi nchi wanavyotofautiana navyo,
kushambulia vinchi vidogo hata bila ya idhini ya umoja wa mataifa,
kupeleka silaha zao ulaya ya mashariki kila ukitokea mgogoro baina ya Urusi na majirani zao,ambazo silaha hizo haizitumii.
Kulazimisha mambo ya kijeshi kama kujenga lada na mitambo ya kujilinda huko ulaya,hii yote ni majisifu.
sasa upande wa pili wakaona kukaa kimya itaonekana ni wanyonge ingawa wanajijua kuwa sio wanyonge ,ndipo walipoanza kujibu,propaganda hujibiwa kwa propaganda,kuonesha silaha ni sehemu ya propaganda,na siku nzuri ni russia victory day,nyingine ndo kuutumia mgogoro wa syria kuonesha misuli.
sasa siku hizi sentensi zimebadilika ,siku hizi imekua ni Urusi inajisifiia,kumbe sio,propaganda imejibu vilivyo.
kwa kifupi US ni full kujisifu,ila ujanja wa kujisifu sasa umepungua,
Inasemekana Putin wa Urusi kamweka Trump madaraakani,sio mimi nisemae haya,bali hii ni kwa mujibu wa CIA,FBI,NSA,and many more others.tehe tehe tehe.upepo unageuka taratibu.