Recent content by kashilimu bwanga

  1. K

    Aliyerekodi Video ya Mwanafunzi kushambuliwa na Walimu

    Nimekosa tu nyazifa kubwa serikalini huyu mwl alierekod ningemtunuku cheyo kikubwa kwani hawa walimu hawana maadili kabisa. Mimi pia mwl lakin nimegazabika sana na sitak hata kurudia kuitazama hiyo video. PONGEZI KWA MAMULAKA HUSKA KWA HATUA WANAZOZICHUA ILA NATAMAN KUONA HAO WATU WAKIWA...
  2. K

    Zitto akosoa utafiti wa Twaweza

    Mtaendelea kusema hayo, eti utafiti sio kweli mara oh umefanyika siko, mwenzenu anachanja mbuga na hizo ndizo salamu zenu 2020.
  3. K

    Msaada: Tutoeni ushamba mimi na mke wangu

    wewe umeoa jana yamkini hata nyumba huna unataka kwenda A. Kusini, tena kuwatembelea tu jamaa na marafki, ushaur wangu acha kushadadia maisha fanya vitu vya maana kwanza starehe badae. Yangu hayo tu.
  4. K

    Tumuombe Rais Mstaafu Kikwete, atuambie pesa alikuwa anapata wapi kuwalipa...

    namshangaa mtoa mada kutaka kujua hela aliitoa wapi, inamaana cku chache hizi umesahau na kusahau kua nchi iliachwa ma deni zaid ya tirion 21?
  5. K

    Inawezekana Hatumuelewi Rais Dkt. Magufuli

    mkuu kama hujaona alilofanya mpaka sasa bac tatzo lako kwene ubongo ni kubwa unahtaj kupelekwa india haraka sana.
  6. K

    Zanzibar: Rais Magufuli amshangaa Dk. Shein kusaini makaratasi ya mtu aliyekataa mkono wake

    Acha nchi inyooshwe mlizoea ujingaujinga, kwa sasa ujinga hauna nafac na mtavmba mpaka mtapasuka.
  7. K

    Magufuli endelea kutumia akili yako tu,ni dhahiri Watanzania wengi hatuji vitu vizuri

    mtoa hoja umenena ukwel tupu, hakka watanzania wengi wamelogwa kipind cha ufsad kila mtu aliitukana serkal oh rais hafai madawa hakuna, mahakama zmejaa rushwa, kila kona kumenuka rais amekosa maamuz yy na safar tu, haya tumempata ambae amejbu hoja zote za wananch, sasa imekua tofaut tena cha...
  8. K

    Rais Magufuli ashiriki siku ya JWTZ na kikosi cha anga Ukonga

    Huyu ndie mtawala wa kuigwa maana kujishusha na kuchuchumaa chini kitu ambacho si rahis kwa wengine. BIG UP SANA MWESHIMIWA.
  9. K

    Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    Sio Moapa hakond umbo lake linamfavour
  10. K

    Hii ndio hali halisi ya K'koo baada ya Rais kuwaruhusu Wamachinga

    UKUTA wataufanya na wake zao mana machinga kero zao zmetatuliwa. HAPA KAZI TUUU.
  11. K

    Bunge kuanza August 22,2016 Je wabunge CHADEMA kushiriki?

    Acha waendelee na UKUTA wao na 2020 wataambulia patupu
  12. K

    Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    Nanyi acheni majungu kwani hamjui kua unapozeeka lazma ukonde?
  13. K

    Mh Rais, Mabenki na Mitandao ya simu yanakujaribu kuhusu tozo za mihamala

    Umesema jambo la maana sana hakka Mh. Rais tunaomba jambo hili ulshuhlikie kwa haraka hili nalo ni jipu
  14. K

    Namtafuta Rais atakayeiondoa Tanzainia katika kundi la failures

    Failure hawez kuondolewa na rais kama ninyi mnazaa matoto alafu hamuyalei yanakalia kuvuta bangi na kufanya ngono msitegemee kuziondoa Failure.
Back
Top Bottom