Zitto akosoa utafiti wa Twaweza

Zitto akosoa utafiti wa Twaweza

Elimu ni zaidi ya kukaa darasani, elimu ni zaidi ya kuwa Dr,elimu ni zaidi ya kuwa Prof, elimu ni utashi na uzalendo,
Kama una elimu na huna uzalendo, mkandamizaji basi hujaelimika,
Wanatumia maguvu kukandamiza watu wasitoe hisia zao, huku upande wa pili wanatumia TAFITI zao fake kutaka kudanganya wajinga, Elimu, elimu, elimu,
 
..wanajua hakubaliki kwingi sasa hivyo wamewaambia twaweza waseme kitu....huu ni usanii tu wa kisiasa...ni yaleyale ya kuingiza siasa kwenye maisha ya watanzania...wakitaka mkuu akubalike washughulike na kere za umma...waache visasi.....waache double standards....waache kuminya demokrasia....wakifanya hivyo hawataitaji tafiti za twaweza kujisafisha....
 
Ni dhahiri mwanasiasa huyu machahari hapa Tz na msomi kijana amekosoa huu Utafiti kwa hoja

1. Eti mitandao ya kijamii 1% na TV 4% radio 64% wakati tunajua mitandao ya kijamii ndio inaongaoza kuzungumzia siasa na hata kumkosoa Mkuu wa kaya.

2. Eti mkuu anakubalika kwa 96%, huo Utafiti utakuwa ulifanyikia kule kwenye sangara na watu wasiofanya kazi yoyote maana mtu anayefanya kazi yoyote ameshaparuriwa. Ukweli ni kuwa huyu mkuu 45% zinamtosha warudie tena huo Utafiti.

Maisha ni magumu jamani kwa sababu za matamko yake.....!!!!
1474011120764.png

Hivi mnaona raha gani kuandika vitu vya uongo? Hajapinga amekubaliana nao na ametoa angalizo soma alichoandika hapo.
 
Tuliambiwa wananchi wanamkubali sana Lowassa tukakubalia, hadi leo sijajua ni nini hasa ambacho kilichokuwa kinafanya wananchi wampende Lowassa hadi kufanywa kuwa mgombea urais!!
 
Ni dhahiri mwanasiasa huyu machahari hapa Tz na msomi kijana amekosoa huu Utafiti kwa hoja

1. Eti mitandao ya kijamii 1% na TV 4% radio 64% wakati tunajua mitandao ya kijamii ndio inaongaoza kuzungumzia siasa na hata kumkosoa Mkuu wa kaya.

2. Eti mkuu anakubalika kwa 96%, huo Utafiti utakuwa ulifanyikia kule kwenye sangara na watu wasiofanya kazi yoyote maana mtu anayefanya kazi yoyote ameshaparuriwa. Ukweli ni kuwa huyu mkuu 45% zinamtosha warudie tena huo Utafiti.

Maisha ni magumu jamani kwa sababu za matamko yake.....!!!!
Bunsen burner inapotoa luminous flame badala ya non luminous flame...ni km tafiti uchwara vile!
 
Zitto anatakiwa kujua Kisanyansi huwezi kupiga jambo bila ya kufanya experiments au source of information yako kuwa verified sasa nitashangaa sana wanaojiita wasomi kupiga tafiti bila ya kufanya tafiti kwani utafiti unapingwa kwa utafiti lakni kisiasa mtu yeyote anaweza kupinga jambo lolote na pia ikakubalika kwani siasa ni mchezo wa walio wengi wape hata kama wte hawajuh au wamefata mkumbo tu watanzania tuache kutumia macho na masikio yetu kufanya maamuzi tutumie akili ,mioyo yetu na tuinvest katka nguvu ya akili si nguvu ya mwili watanzania wanajua kila kisemwacho katika mitandao kimesemwa na watanzania wote kitu ambacho c kweli
hiyo kauli ya "tafiti hupingwa kwa tafiti" imetengenezwa na hao hao watafiti uchwara mahsusi kuzima midomo ya wanaowakosoa.
 
Wafuasi wa Zito mnapiga kelele fanyeni utafiti wenu msilete makelele bila data
Wale 4% wasiompenda walikuwa tayari kufanya utafiti sept 1.unajua kilichotokea kutoka kwa mpendwa kwa 96%.
Mkuu na wewe nyamaza watu hawana habari na hizo tafiti za "moja toa mbili mara x" tafiti ni "wangapi mtakuja sept1,oct1?"
 
kama anakubalika,waruhusu ukuta,then waone madua na nchi itakavyosimama wiki nzima,rais kipenzi cha watu ni lowassa,others magumashi
 
hiyo kauli ya "tafiti hupingwa kwa tafiti" imetengenezwa na hao hao watafiti uchwara mahsusi kuzima midomo ya wanaowakosoa. shenzitype ww
Wise men speak because they have something to say; fools because they have to say something.

sayansi si siasa na ndo maana unaweza kumkuta mwanasiasa darasa la saba lakini huwezi kumkuta mwanasayansi darasa la saba ni siasa pekee ndo mtu yeyote anaweza kuingia na kufanikiwa coz wao wanaamini kuwa waliowengi wape lakini ktk sayansi wanaamini katika experiments
 
Wise men speak because they have something to say; fools because they have to say something.

sayansi si siasa na ndo maana unaweza kumkuta mwanasiasa darasa la saba lakini huwezi kumkuta mwanasayansi dalasa la saba ni siasa pekee ndo mtu yeyote anaweza kuingia na kufanikiwa coz wao wanaamini kuwa waliowengi wape lakini ktk sayansi wanaamini katika experiments
Ndio maana "wanasayansi"walitaka kufanya utafiti sept mosi lakini "wanasiasa" wakaleta fitna kwa kuwachochea "walinzi wa maabara" wasifungue milango
 
Zitto anatakiwa kujua Kisanyansi huwezi kupiga jambo bila ya kufanya experiments au source of information yako kuwa verified sasa nitashangaa sana wanaojiita wasomi kupiga tafiti bila ya kufanya tafiti kwani utafiti unapingwa kwa utafiti lakni kisiasa mtu yeyote anaweza kupinga jambo lolote na pia ikakubalika kwani siasa ni mchezo wa walio wengi wape hata kama wte hawajuh au wamefata mkumbo tu watanzania tuache kutumia macho na masikio yetu kufanya maamuzi tutumie akili ,mioyo yetu na tuinvest katka nguvu ya akili si nguvu ya mwili watanzania wanajua kila kisemwacho katika mitandao kimesemwa na watanzania wote kitu ambacho c kweli
Hiyo shule ulisomea wapi? Hujui kuwa waweza kupinga utafiti kwa kuangalia methodology, time, context n.k?
 
Ni dhahiri mwanasiasa huyu machahari hapa Tz na msomi kijana amekosoa huu Utafiti kwa hoja

1. Eti mitandao ya kijamii 1% na TV 4% radio 64% wakati tunajua mitandao ya kijamii ndio inaongaoza kuzungumzia siasa na hata kumkosoa Mkuu wa kaya.

2. Eti mkuu anakubalika kwa 96%, huo Utafiti utakuwa ulifanyikia kule kwenye sangara na watu wasiofanya kazi yoyote maana mtu anayefanya kazi yoyote ameshaparuriwa. Ukweli ni kuwa huyu mkuu 45% zinamtosha warudie tena huo Utafiti.

Maisha ni magumu jamani kwa sababu za matamko yake.....!!!!
Hivi ndivyo Zitto alivyoandika au wewe umetuwekea ulivyoelewa!!?
 
Ukitaka kuwajua baadhi ya Watanzania walio na unafiki uliyo pitiliza na roho ya kwa nini/mbaya - we tafuta glasi jaza maji nusu, sasa wahoji wanaonaje ujazo?

Sasa subiri majibu, utachoka - Watakao sema glass ni half empty watakuwa wengi mno kulinganisha na watakao sema glass ni half full - mfano wangu huu unarandana na baadhi ya Watanzania wanao pania kuona Utawala wa Dk.Magufuli unashindwa/pata matatizo as far as they're concern hakuna jambo jema katika utawaka wake - wanalalamika tuu, 24X7.

Ukijaribu kufatilia walalamishi utakuta wanafanya usanii tu kuzuga watu - kukosa Urais mteule wao ndiyo imekuwa nongwa, kila siku Magufuli this Magufuli that mpaka mnakuwa kero.

Inaonekana wewe ni mnufaika wa awamu hii, lakini maisha yametaiti huku uswahilini. Vitu vipo lakini havinunuliki, au bei (kama sukari) iko juu.
Kauli tata atoazo mkuu zinazidi kuwafanya watu wahoji kama ana washauri wazuri.
Kama unaishi ushuani ya uswahilini huwezi kuyajua, na huku ndo tuliko wengi,
 
Hiyo shule ulisomea wapi? Hujui kuwa waweza kupinga utafiti kwa kuangalia methodology, time, context n.k?
Kwanza kabisa hakuna kitu kinachoitwa nakadhalika(N.K) umezungumza methodology(mbinu) hv umepata nafasi ya kusoma utafiti vizuri na mbinu zilizotumika ktk utafiti ule???? watu wengi hwajasoma ila wanafata mkumbo tu kubsha tu

zip aina mbili za tafiti ambazo ni
1 practical research
2 theoretical research
utafiti wa twaweza ni practical research ambo umefata taratibu zote kuanzia qualitative ,quatitative,correlation /regression analysis na ndo maana ntakuwa wa mwisho kuupinga labda ufanyike utafiti mwingine wa kuupinga huu na ufate vigezo vyote vya practical research .

umezungumzia swala la Time utafiti wowote unakuwaga varied kwa miezi 6 kwa maana toka umefanyika na toka umetoka labda ufanyike utafiti mwingine wa kuupinga huu ktu ambacho akijafanyika kwa sasa .

watu wengi wanaoupinga utafiti huu ni wale ambao labda wamefanya theoretical research ambao unaweza kuufanya kwenye public libraries, court rooms and published academic journals.
 
Ndugu yangu, bado hivyo sio vigezo pekee vya kutohoji matokeo ya utafiti. Ndio maana hata publications zinaweza kuwa rejected kwa kuangalia tu mbinu na vigezo vingine vya kiutafiti. Vinginevyo "publishers" nao wangekuwa wanareject baada ya kufanya utafiti mbadala, lakini sivyo ilivyo. Niishie tu hapo inatosha.
 
Ni dhahiri mwanasiasa huyu machahari hapa Tz na msomi kijana amekosoa huu Utafiti kwa hoja

1. Eti mitandao ya kijamii 1% na TV 4% radio 64% wakati tunajua mitandao ya kijamii ndio inaongaoza kuzungumzia siasa na hata kumkosoa Mkuu wa kaya.

2. Eti mkuu anakubalika kwa 96%, huo Utafiti utakuwa ulifanyikia kule kwenye sangara na watu wasiofanya kazi yoyote maana mtu anayefanya kazi yoyote ameshaparuriwa. Ukweli ni kuwa huyu mkuu 45% zinamtosha warudie tena huo Utafiti.

Maisha ni magumu jamani kwa sababu za matamko yake.....!!!!
Mtaendelea kusema hayo, eti utafiti sio kweli mara oh umefanyika siko, mwenzenu anachanja mbuga na hizo ndizo salamu zenu 2020.
 
Dah, hivi mmeamua kumchafua Zitto au ni kweli kasema hivyo?? This is too low.
 
Back
Top Bottom