Binafsi huwa nashangaa sana hii kitu, kwa nini mtu usifanye sherehe inayolingana na urefu wa mfuko wako
Mimi nadhani mambo ya kuchangia kwenye jamii yawe yale ya dharura tu: msiba, matibabu na ajali nyingine
Ila kwa jambo ambalo mtu anapanga kabisa kuwa mwakani naoa, apambane na hali yake ✍️
Mbona ni kama hawa wachezaji wanataka Rosemary aondoke!!. Yaani huoni hurry, juhudi na kujituma kwa mchezaji mmoja mmoja.
No team linkup, kila mmoja anajichezea ilimradi muda uishe
No passion at all.
Gallagher kwa tuliowahi kukusema vibaya au kutotambua mchango wako tunaomba utusamehe. Game ya leo pengo lako dhahiri linaonekana
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.