Taifa Stars
wanadhalilisha twiga wetu walio ubavuni mwao
kweli nimeamini timu yangu ya taifa ni kichwa cha mwendawazimu kila anayejifunza kunyoa basi kichwa kipo cha tanzania
Mkuuuu... kweli yule jamaa anayeitwa MPEMBA wakati ni MMAKONDE WA CHIWALE MASASI MTWALA anapiga sana pesa pale
Mkuu pale BUZA KWA MAMA nakushauri uhame tu
nimekaa sana mafisa mzambarauni pale morogoro tulikuwa tunaenda huko kolelo na mkuyuni kwa waluguru kweli ni wafupi, wabishi na wanaamini sana mambo ya kishirikina
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.