Kasara Magafu
Member
- May 22, 2018
- 63
- 73
nimekaa sana mafisa mzambarauni pale morogoro tulikuwa tunaenda huko kolelo na mkuyuni kwa waluguru kweli ni wafupi, wabishi na wanaamini sana mambo ya kishirikina


nimekaa sana mafisa mzambarauni pale morogoro tulikuwa tunaenda huko kolelo na mkuyuni kwa waluguru kweli ni wafupi, wabishi na wanaamini sana mambo ya kishirikina
Waluguru wameshindwa kujiongoza mwenyewe asilimia kubwa ya majimbo ya yamaongozwa na waarabu kina murad,abood yaani wanawaabudu waarabu ata akitokea mbantu mweusi mjanja wanampa jina mwarabu.
Kama wamebadilika labda mengine lakini uchawi
bado,ukiishi karibu nao jiandae au uwe mtu wa maombi au mshirikina.
Nimecheka nilipo fikiria wasifu was best manengelo
Unawakana wenzako Leo?.😀😀😀😎.hahaha siwez kuwa mluguru mm aisee..nina kimo cha mwanamke wa kawaida...lol😂😂
😂😂mie mrefu ww😂Unawakana wenzako Leo?.😀😀😀😎.
Kawakamata kweliHahahaha wew unitakii mema unaona uwanja umetapakaa damu unasema niingie nipambane asubutuu hapa namuachia Manengelo
Mimi sidanganyi nasema nachokiona na wewe umetoa mtazamo wako. Uongo umetoka wapi tena mkuu? Uthibitisho wa ukweli wako upo wapi ili wangu uwe uwongo?
Mimi ni mluguru na ninawajua vizuri wahehe. Huwezi kutofautisha mhehe na mluguru. Tofauti kubwa kati ya wahehe na waluguru ni kwa waluguru kuwa kabila linalopatikana mikoa kadhaa ya Pwani.Kijana wa miaka 24 wa kihehe ni tofauti kbs kbs na kijana umri huo wa kiluguru..sijui kwann jaman!kija a wa umri huo mhehe ukikaa naye utajua hapa nimekaa na kijana anayejitambua..mara nyingi atakuambia nimelima eka 2 za mahindi au maharage..au atakuwa ana bustan za njegere au kabeji..
huyu wa 24mluguru age hyo..ametoroka kwao amempa mimba mtoto wa jiran..ashanyoa kiduku akijitahf sana baa anaendesha boda ya kugongea kwa mshikaji...!hela anayopata inapitiliza dukan anunue pamba ashine😂
😂😂 ebwana kweli umewachoka waluguruHahahaha watani zangu waluguru mkuje pande hizi Manengelo ana leta utani wa ngumi huku, Binafsi najiuliza ni yale magimbi wanayo kula toka wakiwa watoto yanapelekea kuwa wafupi 🤣🤣🤣🤣
Mimi siishi Morogoro lakini mkoa naohishi vigodoro vipo, na wapo wasichana wanaozalia kwenye nyumba za babu zao lakini si waluguru.Hayo nayoyasema ndio yanayotokea sasa. ....
Unaishi mtaa gani morogoro ambao hauna vigodoro.
Unataka kuniambia mambo ya kunemwa hayapo?
Unataka kuniambia watoto wa kirugulu hawazaliani kwenye nyumba za wazazi na babu zao?
Mkuu umeshawahi kuishi au kusikia habari za Tukuyu Mbeya? Morogoro sidhani kama kuna uchawi kama tunavyoaminishwa humu.nimekaa sana mafisa mzambarauni pale morogoro tulikuwa tunaenda huko kolelo na mkuyuni kwa waluguru kweli ni wafupi, wabishi na wanaamini sana mambo ya kishirikina