Swali langu ni fupi tu,je nchi za wenzetu uko majuu yaani uko kwa wazungu kuna makabila kama ilivyo nchi za afrika?
Mfano Tanzania,wajita,wagogo ,wasukuma,wajaga ,wanyakyusa,nk
* ukitaja nchi unitajie na makabila yake ili nasi tusiojua tujifunze
Shukrani.
Hakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa.
Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu.
1: kijiji kizima kulikuwa na duka moja la ushirika siku bidhaa ikiletwa wananchi wanajipanga mstari kupokea japo...
Bila kupoteza muda Nina mashamba ya viazi mviringo vilivyotosha kuvunwa.
Napatikana mafinga Iringa
*Bei kipeto 1 Cha debe 5 ni ni sawa50000
*Debe 1@ 10000
*Usafiri ni juu yako
Nawasilisha wasap no 0614220423 ukipiga kawaida uwezi nipata
Nikiwa ndiyo mara ya kwanza sijawahi kufuga kabisa na Wala Sina ABC kuhusu ufugaji na ninahitaji kufuga samaki kwa njia ya bwawa unanishauri nitege kiasi Gani Cha fedha kuanzia mwanzo Hadi unanikabidhi bwawa lenye samaki?
Kwa uelewa wangu nafikiri nia ya serikali ni kumpa ELIMU Bora mwanafunzi wa kitanzania ili aweze kuwa na upeo Mpana kwa kitu atakachochagua kukisoma ili kiwe ni msaada tosha kwa maisha yake bila kusubili asome ili asubili apewe ajira,darasa la saba kutokuwepo binafsi naona ni sawa tu kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.