Wahenga wenzangu tukumbuke ya kale

Wahenga wenzangu tukumbuke ya kale

Radio moja kijijini ilikuwa ni kama redio ya kijiji , na kila mtu alikusanyika jioni kuisikiliza kwa makini, hasa kipindi cha Tangazo la Taifa au Redio Tanzania Dar es Salaam.

Kuumwa ilikuwa changamoto, dawa nyingi zilikuwa mitishamba, na kulikuwa na wazee waliobobea kwenye tiba za jadi.

Sherehe za jando na unyago ziliheshimiwa, vijana waliandaliwa kuwa watu wazima kwa mila na desturi zilizofundisha maadili na heshima.

Barua zilikuwa zinaandikwa kwa mkono, na kuletwa kwa miguu au baiskeli na watu waliokuwa kama "posta wa kijiji".

Ukarimu ulikuwa sehemu ya maisha, mgeni hakulala njaa, alikaribishwa bila kuulizwa jina lake wala alipotoka
 
Ahsate sana umeongeza kitu kikubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom