Recent content by karoti

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza hamisha mkopo toka Baypot kuja CRDB?

    Barclays mwanzo riba ilikuwa 21 a silimia now wamepunguza naskia ni 15
  2. K

    JamiiForums Tanzania KERO: Hospitali ya TMJ

    Karibuni bima ya afya muhimbili
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kukumbushwa

    Jamani wadau naomben mnikumbushe kuna mtu alituelekeza kuhusu vitu vya kula ukiwa n.a. hangovers. .naomba anikumbushe tafadhar. ..msaada tafadhar
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ipi Bima bora ya Afya kati ya NSSF na NHIF?

    Nhif iko v izuri mana WaPo hosptal nyingi sana .vipimo vinavyolipiwa na nhif ni vingi sana..vifaa watoavyo mfano magongo m iwani nk..vpmo Mri. .ctscan..nk na dawa watoazo ni nyingi pia maduka yanayopokea nhif ni mengi tofauti na nssf...na hutakiw kuwa nazo zote mbili unatakiwa uwe na Moja tu..
  5. K

    JamiiForums Tanzania NEMC vipi kesi ya Jumba la mama Rwakatare? Wanyonge wamebomolewa!

    Magar mengi tu ya shule hayajapakwa rangi Sio yy tu..usipotoshe watu..kuna atlas school.fountain joy..kings ..Mont. .nk shule nyingi sana..
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Basi luxury la Dar - Tabora

    Heeee barabara kuanzia singida vumbi??singida ipi hiyo??kama hujui usipoteze wenzio loooh..no lami ww acha uongo
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli watoto wa Dr. Magufuli wanasoma shule za kata?

    Watu wengine wanakurupuka kujibu...hawaelewi swali lina mana gani..wanajibu loooh..
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hivi vioja vya ofisi za Serikali vitaisha lini?

    Hivi mda wote ukiona wageni au wateja kazi zao wanazoleta zitashughulikiwa sa ngapi??jiongeze
  9. K

    JamiiForums Tanzania Pwani - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Fela wa mkubwa n.a. wanae nae kashinda kwa kishindo sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Pwani - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kashinda kwa kishindo..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa umma kulipwa kabla ya uchaguzi

    Ni kawaida hiyo haiingiliani n.a. uchaguz
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je! Huyu msichana ananipenda kweli? Au yuko kimaslahi

    Mmmh ww hivi huwez kujiuliza ingekuwa ww
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Pole....ila hapo sidhan kama kuna mapenzi ya dhati...kwahiyo ungemnunulia smu angeendelea kukudanganyadanganya badae ungeshindwa kingine angeanza nyodo
  14. K

    JamiiForums Tanzania Naomba Mawazo Yenu

    Inategemea na kipato chako zawad ni nyingi sana..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

    Yaan unikute na kaz ..uniachishe kwa wivu wako loo siachi
Back
Top Bottom