Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 178
Watanzania wenzangu naomba nielezee kero yangu juu ya utaratibu mbovu na kutojali wagonjwa ktka hospitali hiyo. Watu wa mapokezi katk jengo la bima hawana customer care kabisa.
Hawasikilizi wagonjwa, ukiuliza kitu unajibiwa kwa ukali tena kwa dharau. Hawapangi wagonjwa wakaeweka kulingana na shida zao mathalan watu wanaoenda kumuona daktari wasichanganyike na wanaoenda kwenye vipimo.
Unaweza kuwahi mapema ukachelewa kuondoka mwingine ambaye mna vipimo sawa akawah kuondoka kutokana na utaratibu mbovu.
Ni vema wahusika walifuatilie hili, CUSTOMER CARE KATIKA JENGO LA BIMA TMJ HAKUNA.