Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

Nitajuaje kama mke wangu amenisaliti

Mkuu kubali tu kuwa Duniani kuna hii kitu ya kuibiwa, nina tatizo kama lako na mimi wangu analudi mpaka saa tano kisa kazi tumechelewa kutoka usafiri shida na blah blah kibao. Mi ninachoangalia saa hizi ni future ya watoto sio hizi habari za kuibiwa acha waibe tu na mimi nikitaka si napewa na kinakuwa vile vile.

Hadi huruma unavowasilisha mchango wako! Usikute mwenyewe hata wazo la kukusalit mumewe hajawahi kulifikiria!
 
ROHO YAKO IKIDUNDA KWA NGUVU ANAPOINGIA NDANI! Ohhh! jamaa langu ni ushahidi tosha, na ili uthibititishe, chunguliamooo!
 
Mkuu kubali tu kuwa Duniani kuna hii kitu ya kuibiwa, nina tatizo kama lako na mimi wangu analudi mpaka saa tano kisa kazi tumechelewa kutoka usafiri shida na blah blah kibao. Mi ninachoangalia saa hizi ni future ya watoto sio hizi habari za kuibiwa acha waibe tu na mimi nikitaka si napewa na kinakuwa vile vile.

Tatizo wanakiachia ngwengwe sasa
 
Lakn siku hiz chipukiz ni weng mno na hawaon hatari kuhifadh wazee wao! Kama kuna watu bado wanashoboka na wake za watu, watakuwa na mapepo hao wanahitaj maombi! Lakn kama wife mwenyewe ndiye anayenunua serengetboyz, sina cha kuchangia hapo!
 
kama kampata mpiggaji mbuzi kagoma kama mimi...

Na za ofisini hakuna muda wa "death of a cocroach" ni mwendo wa mbuzi kagoma za fasta fasta.....na stepler yake mkononi......cha zaidi sanasana anakuwa anaongelea kifuani "James siku tunakutwa, mimi sijui"
 
Muunganishe na mitandao ya simu ili kusudi kidume mwingne akipga unakuta kuna missed call.
 
Mh ngumu kumesa,me wangu tatizo la usafiri nshalisolve nime mnunulia ka passo ila limebakia tu la foleni,niponjiani kumtengenezea barabara ya angani

Hahahhahahhahaha, duh JF kuna vichwa na Ma-T.O. umetisha mkuu
 
Hadi nakuonea huruma Mkuu. Ngoja siku akipigwa na mtu mwenye hogo kubwa zaidi yako utagundua tu K yake imetanuka
 
Thread kama hizi ni za kutiana pressure zisizo na kichwa wala miguu! maisha yenyewe yanakaba tuanze tena kukabana na bibie? haya majibu hayo umepewa!
 
Yaan unikute na kaz ..uniachishe kwa wivu wako loo siachi

utaacha tu, kwani hiyo kazi ndiyo itakayo kugegeda ? , mi mmeo nimesema acha kazi ili tugegedane vizuri wewe hutaki , nakurudisha kwenu ukagegedwe na binamu yako
 
Usipoteze muda kumuamini mwanamke, utaumia bure. Wewe tafuta hela na uwe na misimamo yako. Akae akijua anaweza gawa hiyo punani kwa mji mzima ila siku ukijua unamwaga. Watoto utatunza mwenyewe. Huu upuuzi wa kulea umalaya eti kwa kuwa watoto wadogo umepitwa na wakati. Akikuletea magonjwa je? Na ujue wake za watu hugongwa kavu kwa kiasi kikubwa. Sasa watoto wako watafurahishwa na wewe na mkeo kununiana nyumbani hakuna amani? Mwanamke malaya huwa haachi. Kuwa bandidu, tafuta mpunga. All these hot women iweje uache malaya mmoja akusumbue kichwa?
 
Hahahahahahaha lol!!!! Dah!!!! kazi kweli Mkuu hii yote katika kuhakikisha papuchi yako iko salama kwi kwi kwi kwi, niliwahi kuona hapa jamvini baadhi ya wanaume huwaamrisha wake zao kuvua pichu kisha hupitisha pua zao ili kuona kama kuna harufu yoyote ambayo hawaijui lol!!! Chezeya kupenda weye!!!

Siku moja mpige ambushi , akirudi mvue nguo zote achuchumae halafu mvutishe ugoro ..... Alianza kupiga chafya utapata majibu au mrushe kichura chura labda waweze wanatumia condom.
Ila kingine mkuu mwachishe tu kazi kama una ubavu wa kuhudumiakila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom