Recent content by Karim Mussa

  1. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Kutembea na mwanafunzi siyo kosa kisheria

    Ufafanuzi mzurii 📌
  2. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Leo Tujifunze kuhusu wosia: hati yenye nguvu kisheria kuhusu mgawanyo wa mali baada ya kifo.

    Wosia ni tamko au maandishi ya mtu akiwa hai, yanayoeleza namna mali zake zitakavyogawanywa kwa warithi wake baada ya kifo. Ni nyaraka muhimu ya kisheria ambayo husaidia kuzuia migogoro ya familia na ndugu baada ya msiba. --- AINA ZA WOSIA KISHERIA: 1. Wosia wa Maandishi – huandikwa na...
  3. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania University Admission Results 2020

    mkuu naona baadhi ya vyuo wameongeza Kufanya maombi mpaka tarehe 26/10/2020
  4. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Sampuli/Mfano wa Mkataba wa kupangisha nyumba

    MKATABA WA KUPANGA FREMU NAMBA……. BLOCK……………………………. MANISPAA YA Mkataba huu umefanyika BAINA ya…………………………………………wa Sanduku la Posta……………………Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MWENYE NYUMBA kwa upande mmoja, NA ……………………………………………………………….. WA Sanduku la Posta…………………… Morogoro ambaye...
  5. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Namba za Vyuo huwa hazipatikani kwanini wameziweka?

    hahahahahahaaha umetoaa bokooooooooo
  6. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Which one is best among these

    Kwa maono yangu naona computer science ni bora zaidi, japo kuwa information technology ipo vizuri piaa
  7. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Mkataba wowote ukiwa na dosari kusheria je ni halali?

    naungaa mkonoo
  8. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya kesi ya madai?

    shukraniii
  9. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya kesi ya madai?

    1. iko ivi kama alikiri kuwa una mdai hicho kiasi cha pesa hakimu aliendelea kutoa hukumu ambapo ndio hiyo kukulipa wewe ndani ya siku 30 ikitokea hajakulipa pesa yako yote basi utaenda kukaza hukumu ( kwa maana hii Wakati mahakama imetoa tuzo au amri ya malipo ya pesa na pesa hizo hazijalipwa...
  10. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Hii salamu imekaaje wajuvi wa Kiingereza

    How was the day
  11. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Certification ya Advanced Diploma

    ASANTE SANA KWA DARASA ZURI AISEE TUMEJUA MENGI
  12. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya application Udom AVN NUMBER

    hahahahaha wanaona wakitoa free wataishiwa,, acha tulipe kodii tu
  13. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya application Udom AVN NUMBER

    Ni tuzo ambayo hutolewa na nacte.go.tz lengo lake ni admission purposes
Back
Top Bottom