Msaada: Certification ya Advanced Diploma

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
281
250
Habari zenu wadau wa jukwaa hili!

Naomba heading ya sred ihusike!

Nimekua nikipata changamoto ya jinsi gani yakumuhakikishia mwajiri mtarajiwa juu ya kigezo cha kitaaluma cha stashahada ya juu (advanced diploma). Pengine napata changamoto hii kutokana na kutokujua mfumo rasmi wa elimu wa Tanzania una academic awards za aina gani!

Kwa mfano, mtahiniwa akimaliza elimu ya kidato cha nne (kw mtaala wa Tanzania) anakua awarded na 'Certificate of Secondary Education Examination-CSEE), Advanced Level anakua awarded na ACSEE.

NACTE wanatoa awards kuanzia NTA Level IV ambayo ni 'Cheti/astashahada'. Alafu wanatoa award kwa muhitimu wa NTA Level VI...ambayo ni stashahada (Ordinary Diploma). Baada ya hapo wanatoa award kwa muhitimu wa Shahada...yaani Bachelor's Degree nakuendelea.

Sasa, kufupisha huu mlolongo wakutaja levels za elimu na tuzo zinazotolewa kama 'Credentials' kwa waajiri. Naomba niulize swali langu, mana icho nilichokisema apo juu ni kwaajili yakuonesha ufahamu wangu mdogo kuhusu mfupo wa ku-award graduands wa Tanzania.

Swali: Kwa sababu kuna Vacant positions nyingi za serikalini zinawahitaji Holders wa Advanced Diploma katika kada mbalimbali, je ni kwanini wahitimu wasiwe-awarded na aina hiyo ya tuzo ili kuendana na uhitaji wa soko la ajira? Kwasababu, kwaninachokijua mimi, hakuna award inayotilewa na TCU kwa aliefikia NTA Level 7, ambayo kwa ufahamu wangu ndo inakua termed as ADVANCED DIPLOMA.

Kwa alienielewa, naomba anisaidia ni kwa jinsi gan naweza ku certify advanced diploma yangu kwa mwajiri mtarajiwa??

Ahsanteni wadau, in-advance!
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,092
2,000
Jifunze hapa.

Mfumo wa Advance Diploma ulishafutwa zamani, pia mfumo huu ulikuwepo kipindi kuna kitu kinaitwa FTC yaani Full technician Certificate (Ambayo ni sawa na diploma ya sasa) Lakini Award hizo bado zinatambulika ndani na nje ya nchi licha ya kusitishwa kutolewa

Baadae ndio yakaja mambo ya TCU na NaCTe
Nacte ikaanza kudili na elimu ya kati na TCU ikawa na elimu ya juu.

Mfumo ya Nacte unaenda kwa levels za NTA katika mfumo wa Competence based, yaani mwanafunzi atafundishwa hadi awe compitent na atakuwa awarded kwa kila level

So nikufute kauli yako ya kusema mtu wa NTA level 7 hapewi cheti.

Na NTA level 7 inaitwa Higher Diploma Ambayo ndio kama ile Advance Diploma ambayo ipo Equivalent na Bachelors Degree.

So

Advance diploma, B. Degree na Higher diploma zipo Equivalent ( Sawia) na waajiri wote wanajua

Pia Vyuo vikuu yaani universities Hutoa Bachelor degree kwa miaka mitatu as Whole programme ( 3 years) Na taasisi yaani institutes zinatoa Degree kwa miaka mitatu hiyo hiyo lakini katika level yaani NTA level 7 na 8

So mwanfunzi wa chuo kikuu akisoma miaka miwili ya kwanza kisha akadrop hapati cheti wala award yoyote

na Mwanafunzi wa Taasisi like IFM, DIT, NIT nk akidrop mwaka wa pili akiwa amemaliza courses zake atapewa cheti/ Award ya Higher diploma

Kama una swali pls
 
Mdau wa Elimu

Member
Dec 20, 2019
9
45
Nijuavyo:

Miaka ya nyuma vyuo km NIT, IFM, TIA, DIT, IAA na vingine sivijui vilikuwa havitoi Bachelor Degree badala yake wanatoa Advanced Diploma. Degree walikuwa wanatoa vyuo vikuu pekee.

Wakabadilisha, vyuo hivyo nilivyovitaja vikawa vinatoa Degree badala ya Advanced Diploma, kwa maneno mengine badala ya kuita Advanced Diploma wakawa wanaita Bachelor Degree ndo ipo hivyo now.

Advanced Diploma inasomwa miaka 3 enzi hizo, Sawa na Degree pia. Hivyo ki bongo bongo ni level moja kwenye ajira na hata ki elimu Kwa Kuwa wote wakitaka kusoma masters degree ruksa.

Kwa sasa, kuna Advanced Dip ya miaka 2 Ile ya ku drop out chuo second year, na kulikuwa na ile Advanced Dip ya miaka 3 Ile ya kumaliza kusoma 3 yrs kwenye vyuo nilivyovitaja.

Advanced Diploma ya miaka 2 si Sawa na Ile Advanced Dip ya miaka 3, maana hii ya miaka 3 ni degree km yote yote tu.
 
mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
281
250
Kaka, kuna maelezo yako yanang'atana.

Maelezo yako ni mazuri lakini hayajitishelezi. Unasema Nacte wanatoa National Technical Award based on competency kwa kila level, now naomba uniambie aliemaliza NTA Level 5 anakua awarded na nini?? (as per your maelezo)

Pili, hoja yangu ni kwanini ajira za Utumishi (serikalini) zina demand advanced diploma qualifications, wakat ww ushasema mfumo huo ushaondolewa (japokua bado unatambulika nje ya nchi?).

Plus: Inani disgust kukuskia ukisema advanced diploma ni equivalent na B. Degree. Na kwanini ziwe equivalent wakat Conventional bachelor's degree kw baadh ya social science courses ni 3 years, hard sc. ni miaka minne mpaka mitano (kutegemea na profession). Sasa kwa scenerio kama hizo iyo equivalence unaitolea wapi??
B. Degree ni NTA Level 7, 8, 9 (chukulia kwa wale wanaosoma degree kw miaka mitatu), na (kwa maelezo yako) advanced diploma ni Drop out wa Bachelor's degree katika Level ya 8 ya national technical award...equivalency iko wapi apo kaka??
 
mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
281
250
Jifunze hapa.

Mfumo wa Advance Diploma ulishafutwa zamani, pia mfumo huu ulikuwepo kipindi kuna kitu kinaitwa FTC yaani Full technician Certificate (Ambayo ni sawa na diploma ya sasa) Lakini Award hizo bado zinatambulika ndani na nje ya nchi licha ya kusitishwa kutolewa

Baadae ndio yakaja mambo ya TCU na NaCTe
Nacte ikaanza kudili na elimu ya kati na TCU ikawa na elimu ya juu.

Mfumo ya Nacte unaenda kwa levels za NTA katika mfumo wa Competence based, yaani mwanafunzi atafundishwa hadi awe compitent na atakuwa awarded kwa kila level

So nikufute kauli yako ya kusema mtu wa NTA level 7 hapewi cheti.

Na NTA level 7 inaitwa Higher Diploma Ambayo ndio kama ile Advance Diploma ambayo ipo Equivalent na Bachelors Degree.

So

Advance diploma, B. Degree na Higher diploma zipo Equivalent ( Sawia) na waajiri wote wanajua

Pia Vyuo vikuu yaani universities Hutoa Bachelor degree kwa miaka mitatu as Whole programme ( 3 years) Na taasisi yaani institutes zinatoa Degree kwa miaka mitatu hiyo hiyo lakini katika level yaani NTA level 7 na 8

So mwanfunzi wa chuo kikuu akisoma miaka miwili ya kwanza kisha akadrop hapati cheti wala award yoyote

na Mwanafunzi wa Taasisi like IFM, DIT, NIT nk akidrop mwaka wa pili akiwa amemaliza courses zake atapewa cheti/ Award ya Higher diploma

Kama una swali pls
Kaka, kuna maelezo yako yanang'atana.

Maelezo yako ni mazuri lakini hayajitishelezi. Unasema Nacte wanatoa National Technical Award based on competency kwa kila level, now naomba uniambie aliemaliza NTA Level 5 anakua awarded na nini?? (as per your maelezo)

Pili, hoja yangu ni kwanini ajira za Utumishi (serikalini) zina demand advanced diploma qualifications, wakat ww ushasema mfumo huo ushaondolewa (japokua bado unatambulika nje ya nchi?).

Plus: Inani disgust kukuskia ukisema advanced diploma ni equivalent na B. Degree. Na kwanini ziwe equivalent wakat Conventional bachelor's degree kw baadh ya social science courses ni 3 years, hard sc. ni miaka minne mpaka mitano (kutegemea na profession). Sasa kwa scenerio kama hizo iyo equivalence unaitolea wapi??
B. Degree ni NTA Level 7, 8, 9 (chukulia kwa wale wanaosoma degree kw miaka mitatu), na (kwa maelezo yako) advanced diploma ni Drop out wa Bachelor's degree katika Level ya 8 ya national technical award...equivalency iko wapi apo kaka??
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,092
2,000
Kaka, kuna maelezo yako yanang'atana.

Maelezo yako ni mazuri lakini hayajitishelezi. Unasema Nacte wanatoa National Technical Award based on competency kwa kila level, now naomba uniambie aliemaliza NTA Level 5 anakua awarded na nini?? (as per your maelezo)

Pili, hoja yangu ni kwanini ajira za Utumishi (serikalini) zina demand advanced diploma qualifications, wakat ww ushasema mfumo huo ushaondolewa (japokua bado unatambulika nje ya nchi?).

Plus: Inani disgust kukuskia ukisema advanced diploma ni equivalent na B. Degree. Na kwanini ziwe equivalent wakat Conventional bachelor's degree kw baadh ya social science courses ni 3 years, hard sc. ni miaka minne mpaka mitano (kutegemea na profession). Sasa kwa scenerio kama hizo iyo equivalence unaitolea wapi??
B. Degree ni NTA Level 7, 8, 9 (chukulia kwa wale wanaosoma degree kw miaka mitatu), na (kwa maelezo yako) advanced diploma ni Drop out wa Bachelor's degree katika Level ya 8 ya national technical award...equivalency iko wapi apo kaka??

naomba nikurekebishe, NTA 9 ni Masters na sio degree ya kwanza kama unavyodhani.

Mfumo bado unatambua wahitimu wa Advance diploma japo elimu hii haitolewi tena kwa sababu wahitimu wake bado wapo, na kuna mfumo huu kwenye nchi nyingine Eg. UK

Tuje Nacte sasa
level 4 - Basic certificate -1 Year
level 5 - Technician certificate - 1 Year
level 6 - Diploma Eq. to FTC - 1 Year

Level 7 - Higher diploma - 2 years
Level 8 - Bachelor degree - 1 year

Basically

Bachelor degree kwa TZ ni miaka 3. Hizo bachelor nyinge ambazo ni miaka mi 4 hadi 5 zinaitwa (Unclassified Bachelor degree) Kwa sababu sio za kawaida na zina uspecial wake.

So equivalent imechukuliwa Kwenye Classed/ classified bachelor degree.

Kitu kingine unatakiwa ujue ni kwamba. Mhitimu wa Advance Diploma hana Nafasi tena ya kusoma Degree, badala yake inabidi asome masters kama mhitimu wa degree lakini anapewa condition ya kusoma Post graduate diploma kwa miezi 18 ndio aqualify kusoma degree

Kwa hiyo sasa nakupa kitu kingine, Post graduate Diploma ni Equivalent to Master Degree ( Degree ya pili/ Shahada ya Uzamili)
 
Asante kwa darasa zuri kaka!

*Nimepokea marekebisho kwenye hiyo case ya NTA L9 kua ni Master's degree. Actually nili overlook hzo hatua...nilikusudia kusema Bachelor's Degree ni equivalent to NTA L7 & L8 (wakat NTA L7 ikisomwa kw miaka miwili-NTA L7A & NTA L7B).

Ukisema:
"Mfumo bado unatambua wahitimu wa Advance diploma japo elimu hii haitolewi tena kwa sababu wahitimu wake bado wapo, na kuna mfumo huu kwenye nchi nyingine Eg. UK"

Hapo kwenye hiyo kauli ndo panaponipa shaka nakunifanya nishindwe kuelewa zaidi...
Mfumo gani unatambua wahitimu wa advanced diploma? Mfumo wa soko la ajira?? Km ni mfumo wa ajira, je uko wapi mchango wa research & Development Departments kwny taasisi zetu za elimu kwa kushindwa kutambua demand ya iyo Qualification kwenye soko la ajira? (only if tumekubaliana kwamba elimu hii haitolewi ndani ya nchi)

Naomba nieleweke, Soko la uajiri linahitaji candidate mwenye qualification ya Advanced diploma, lakini mtaala unaozalisha izo qualifications umesitisha kutoa hyo award kwasasa...mpk external providers wafanye hvyo (Eg: UK...km ulivosema).

Concern yangu nyingine ni kwamba, NTA Level 5 inakupa fursa ya kua awarded na Technician Cert. Je, unaona demand ya Tech. Cert hyo?? Na pia unisaidie kunipa uelewa wa kuitambua Tech. Cert (Ntashkuru).

NB: Nashukuru kw faida nyng ulonipa kutoka kwny maelezo yalotangulia.
 
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-
Advanced Diploma

Soko la ajira halihitaji watu wenye Advanced diploma ila linawahitaji wenye Bachelor degree while likiwatambua wa Advanced diploma na kuwapa equal opportunity as for Bachelor degree holders. Hali hii itaendelea mpaka watakapo isha either kwa Kufa au kupata qualification za juu zaidi

Hii ni kama Benki kuu inatangaza Note mpya na zinaingia kwenye mzunguko while noti za zamani zipo kwenye mzunguko huohuo ila zitazuiliwa zikifika bank kuu na hivyo kuwa phased out

Technician certificate/ NTA level 5

Hii ni award na inatambulika. labda imekuwa ngeni kwako kwa sababu watu wengi wakianza basic certificate lazima wamalize Diploma

Ki msingi hiki kitu kipo. Ukienda kwenye Kada ya Afya ka upande wa Nurses na wengine ni wengi sana wanaajiriwa kwa level hii ya Tech. certificate ambapo mtu anamaliza kwa kusoma miaka miwili.

Pia hii ni Entry level kwa Kwa form six leaver ambaye hajapata qualification za kusoma Bachelor degree.

Muhitimu huyu huwa haanzi NTA level 4 badala yake huanza NTA level 5 na kisha kuendelea na masomo ambapo humchukua miaka 2 kumaliza Diploma

kamwendo

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
595
1,000

Asante sana Mkuu Kwa Darasa.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,725
2,000
Habari zenu wadau wa jukwaa hili!

Naomba heading ya sred ihusike!

Nimekua nikipata changamoto ya jinsi gani yakumuhakikishia mwajiri mtarajiwa juu ya kigezo cha kitaaluma cha stashahada ya juu (advanced diploma). Pengine napata changamoto hii kutokana na kutokujua mfumo rasmi wa elimu wa Tanzania una academic awards za aina gani!

Kwa mfano, mtahiniwa akimaliza elimu ya kidato cha nne (kw mtaala wa Tanzania) anakua awarded na 'Certificate of Secondary Education Examination-CSEE), Advanced Level anakua awarded na ACSEE.

NACTE wanatoa awards kuanzia NTA Level IV ambayo ni 'Cheti/astashahada'. Alafu wanatoa award kwa muhitimu wa NTA Level VI...ambayo ni stashahada (Ordinary Diploma). Baada ya hapo wanatoa award kwa muhitimu wa Shahada...yaani Bachelor's Degree nakuendelea.

Sasa, kufupisha huu mlolongo wakutaja levels za elimu na tuzo zinazotolewa kama 'Credentials' kwa waajiri. Naomba niulize swali langu, mana icho nilichokisema apo juu ni kwaajili yakuonesha ufahamu wangu mdogo kuhusu mfupo wa ku-award graduands wa Tanzania.

Swali: Kwa sababu kuna Vacant positions nyingi za serikalini zinawahitaji Holders wa Advanced Diploma katika kada mbalimbali, je ni kwanini wahitimu wasiwe-awarded na aina hiyo ya tuzo ili kuendana na uhitaji wa soko la ajira? Kwasababu, kwaninachokijua mimi, hakuna award inayotilewa na TCU kwa aliefikia NTA Level 7, ambayo kwa ufahamu wangu ndo inakua termed as ADVANCED DIPLOMA.

Kwa alienielewa, naomba anisaidia ni kwa jinsi gan naweza ku certify advanced diploma yangu kwa mwajiri mtarajiwa??

Ahsanteni wadau, in-advance!
Acha uoga, ukiona nafasi imetangazwa wewe peleka naombi. Kuna mwajiri gani asiyeelewa?
Advance diploma ni sawa na shahada ya kwanza.
Utajipotezea nafasi kwa kuwa na hofu isiyokuwapo.
 
Karim Mussa

Member
May 6, 2019
21
45
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-
Advanced Diploma

Soko la ajira halihitaji watu wenye Advanced diploma ila linawahitaji wenye Bachelor degree while likiwatambua wa Advanced diploma na kuwapa equal opportunity as for Bachelor degree holders. Hali hii itaendelea mpaka watakapo isha either kwa Kufa au kupata qualification za juu zaidi

Hii ni kama Benki kuu inatangaza Note mpya na zinaingia kwenye mzunguko while noti za zamani zipo kwenye mzunguko huohuo ila zitazuiliwa zikifika bank kuu na hivyo kuwa phased out
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-

Technician certificate/ NTA level 5

Hii ni award na inatambulika. labda imekuwa ngeni kwako kwa sababu watu wengi wakianza basic certificate lazima wamalize Diploma

Ki msingi hiki kitu kipo. Ukienda kwenye Kada ya Afya ka upande wa Nurses na wengine ni wengi sana wanaajiriwa kwa level hii ya Tech. certificate ambapo mtu anamaliza kwa kusoma miaka miwili.

Pia hii ni Entry level kwa Kwa form six leaver ambaye hajapata qualification za kusoma Bachelor degree.

Muhitimu huyu huwa haanzi NTA level 4 badala yake huanza NTA level 5 na kisha kuendelea na masomo ambapo humchukua miaka 2 kumaliza Diploma
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-
ASANTE SANA KWA DARASA ZURI AISEE TUMEJUA MENGI
 
Eblack

Member
Sep 30, 2018
87
125
Jifunze hapa.

Mfumo wa Advance Diploma ulishafutwa zamani, pia mfumo huu ulikuwepo kipindi kuna kitu kinaitwa FTC yaani Full technician Certificate (Ambayo ni sawa na diploma ya sasa) Lakini Award hizo bado zinatambulika ndani na nje ya nchi licha ya kusitishwa kutolewa

Baadae ndio yakaja mambo ya TCU na NaCTe
Nacte ikaanza kudili na elimu ya kati na TCU ikawa na elimu ya juu.

Mfumo ya Nacte unaenda kwa levels za NTA katika mfumo wa Competence based, yaani mwanafunzi atafundishwa hadi awe compitent na atakuwa awarded kwa kila level

So nikufute kauli yako ya kusema mtu wa NTA level 7 hapewi cheti.

Na NTA level 7 inaitwa Higher Diploma Ambayo ndio kama ile Advance Diploma ambayo ipo Equivalent na Bachelors Degree.

So

Advance diploma, B. Degree na Higher diploma zipo Equivalent ( Sawia) na waajiri wote wanajua

Pia Vyuo vikuu yaani universities Hutoa Bachelor degree kwa miaka mitatu as Whole programme ( 3 years) Na taasisi yaani institutes zinatoa Degree kwa miaka mitatu hiyo hiyo lakini katika level yaani NTA level 7 na 8

So mwanfunzi wa chuo kikuu akisoma miaka miwili ya kwanza kisha akadrop hapati cheti wala award yoyote

na Mwanafunzi wa Taasisi like IFM, DIT, NIT nk akidrop mwaka wa pili akiwa amemaliza courses zake atapewa cheti/ Award ya Higher diploma

Kama una swali pls
Mimi Nina diploma ya ualimu pia Nina degree ya ualimi. Sasa nataka kusoma digrii ya business administration majoring marketing , au digree ya procurement and logistic management au transportation and logistic management. Ila miaka 3 naona ni mingi sana je naweza soma miaka miwili kisha nikadrop ili nipate hicho cheti cha advance diploma??
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,092
2,000
Mimi Nina diploma ya ualimu pia Nina degree ya ualimi. Sasa nataka kusoma digrii ya business administration majoring marketing , au digree ya procurement and logistic management au transportation and logistic management. Ila miaka 3 naona ni mingi sana je naweza soma miaka miwili kisha nikadrop ili nipate hicho cheti cha advance diploma??

hapana, kama una degree tayari unatakiwa kusoma masters, lakini inakubidi uanze na Postgraduate diploma kwa miezi 18 na baadae masters 2 years
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,725
2,000
Mimi Nina diploma ya ualimu pia Nina degree ya ualimi. Sasa nataka kusoma digrii ya business administration majoring marketing , au digree ya procurement and logistic management au transportation and logistic management. Ila miaka 3 naona ni mingi sana je naweza soma miaka miwili kisha nikadrop ili nipate hicho cheti cha advance diploma??
Nani alikuambia advance diploma unasoma miaka michache?
Kwa ulichoeleza labda uanzishe chuo chako na uweke mtaala huo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom