Recent content by karhu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Ukipona nipe mrejesho kwa pm
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa Mba na tiba yake

    Dawa ya uhakika ni NIZORAL shampoo. Paka kama lotion
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na hii kauli...

    Hii ilikuwa Afrika au Ulaya?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Picha hii inaumiza sana kuhusu kauli mbiu za Kilimo Kwanza na Kilimo ni Uti wa Mgongo

    Ni zao gani hilo?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uzembe Wetu umetufikisha Hapa ...Inauma

    Kwanza R.I.P kwa watoto na ndugu zetu waliopoteza maisha katika ajali hii.Pili pole sana kwa wazazi na ndugu walikumbwa na msiba huu. Mola awape moyo wa ustahimilivu. Lakini, kusema kuwa ajali ni ajali tu siyo sahihi. Kama ingekuwa hivyo kwa mini tuwe na polisi wa usalama barabarani, kwa nini...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kinachoandikwa kwenye blogs za Kitanzania

    Acknowledged.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kiingereza kinachoandikwa kwenye blogs za Kitanzania

    Inaonekana na wewe hujui kiswahili. Mfano tunasema hataki siyo ataki. Na kwa kingereza tuna publish.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Bunge letu tukufu: Mkithibisha hii Nepotism ya ajabu na zile Boeing ni TT, then hatufai!.

    Mfano mzuri ni Kilimanjaro International Airport. Uwanja huu ulijengwa kwa ndoto ya kuleta watalii wengi nchini kwetu moja kwa moja badala ya kuwa wanatua Nairobi. Miaka 50 sasa bado KIA ni ghost airport (kimataifa). Nina shaka sana DREAM LINER ni ndoto ya aina hiyo. Ukweli ni kwamba pamoja na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lissu awajibu wanaopinga TLS kumshitaki Makonda

    Jamani, si tuandike kwa kiswahili tu tunachokijua!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

    Zote ni nzuri. Uchaguzi unategemea uzoefu, mahusiano na watengenezaji wa engine hizo na hata uzalendo. RR ni ya Uingereza na hizi nyingine ni za Marekani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha kununua ndege “Kimeo” aina Boeing & 787-Terrible teen

    Inatumia aina moja tu. Ila kuchagua iwe Rolls Royce, General Electric au Pratt&Whitney ni uamuzi wa mnunuzi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Thinking outside the box: Itakuaje siku vyeti vya Magufuli vikagundulika ni feki?

    "ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT, SOME ARE MORE EQUAL THAN OTHERS"
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kubadilisha hili neno liwe katika lugha ya kiingereza

    Alternatively you could ask, "am I your first born?" in which case he could say "yes" if in deed that was the case, or say "no" in which case he might be expected to say whether you are the second, third etc.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tawasifu ya Shaaban Robert

    Nakushukuru, umenikumbusha mbali.
Back
Top Bottom