masopakyindi Platinum Member Jul 5, 2011 18,173 13,776 May 13, 2017 #3 Inakuumiza vipi wakati wewe unachezea laptop siku nzima na huyo mzee kakusomesha hadi chuo kikuu!
Waterloo JF-Expert Member Nov 30, 2010 25,356 38,908 May 13, 2017 #4 karhu said: Ni zao gani hilo? Click to expand... Itakua karanga hii
Eck fulani JF-Expert Member Oct 14, 2014 457 594 May 13, 2017 #5 Hivi punde said: View attachment 508782 Click to expand... HAPA KAZI TU ,MAUMIVU PELEKA UKWENI.
H HEKIMA KWANZA JF-Expert Member Mar 31, 2015 2,942 3,937 May 13, 2017 #6 masopakyindi said: Inakuumiza vipi wakati wewe unachezea laptop siku nzima na huyo mzee kakusomesha hadi chuo kikuu! Click to expand... Wakija mijii wanakazana na makongamano ya 'demokrasia' halafu huyo kibaraka anajidai kuumia!
masopakyindi said: Inakuumiza vipi wakati wewe unachezea laptop siku nzima na huyo mzee kakusomesha hadi chuo kikuu! Click to expand... Wakija mijii wanakazana na makongamano ya 'demokrasia' halafu huyo kibaraka anajidai kuumia!
kijani11 JF-Expert Member Jan 19, 2014 7,932 8,199 May 13, 2017 #8 kwa kilimo cha jembe la mkono lazima tu hizo picha zitakuwa nyingi