Recent content by kapuyanga mkware

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya: Kaeni chonjo!

    password ndio b.iki.ra huyu hana hiyo ilishaondolewa akiwa msingi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kweli Tz kubwa sana. Uwewahi kufika wilaya ya Mbinga

    warembo. bar. msg parlours.misikiti. kitimoto. barabara. umeme. DART. maji. vyooote navipata Dar. nije huko kwa kina Komba kutafuta nini
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya: Kaeni chonjo!

    Jamaa jasiri sana. anat.omb.ewa halafu anaanika hadharani. mkiambiwa muoe kwenu mnasema LOVE at first sight. haya sasa. love at first sight kwa kila mwenye t.shirt nyekundu. Imekula kwako
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tunatawaliwa na wajinga??

    Msuya alipata first class degree lakini kafanya madudu kuliko mwana wa mkulima
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya: Kaeni chonjo!

    Tatizo la kuoa wanawake wasiosoma. anamwamini vipi total stranger hata akagawa simu yake. alikua ameangalia wapi wakibadilisha line ? mhoji vizuri huyo my wife wako huenda kuna vingi umeibiwa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kupangisha nyumba, Huwezi ukala faida wewe unayejenga

    Dogo ushasikia kitu kinaitwa real estate. Hii ni moja ya biaahara zinazolipa sana ukiondoa madawa ya kulevya na petroli
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hili Basi litaua

    gavana dili la Sumaye sasa hv anawania urais
  8. K

    JamiiForums Tanzania Atm ya traffic daraja mlalakuwa takukuru mko wapi?

    Asanteni sana ndugu wananchi kwa taarifa. naomba mnipe namba ya askari mmpja tu. namba zao ziko kifuani.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Atakae tembea nusu uchi Zanzibar kukiona

    je akitembea full uchi anafanywaje ?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania wanapenda zaidi magari ya Japan kuliko ya Uingereza?

    Futa povu mdomoni. kuna Ford za uk na Ford za Marekani
  11. K

    JamiiForums Tanzania Walaji wa nguruwe/kitimoto hatarini kuugua Ugonjwa wa Kifafa

    Siku ukichinja nguruwe uniwekee kilo tano. Moro kilo bei gani?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tumieni nafasi hii kuimaliza CCM

    Mfumbi oyee. Makete YES
  13. K

    JamiiForums Tanzania Zahanati mpya ya kisasa iliojengwa na The Islamic Foundation wilayani Masasi mkoani Mtwara

    Aisee hii zahanati ni kiboko. yaani jengo lilivyokua la kisasa. kubwa na maridadi. itakua inalaza wagonjwa hii zahanati. wana Masasi mpooo.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Atakae tembea nusu uchi Zanzibar kukiona

    I have been to Zanzibar several times. In a nutshell ZANZIBAR IS A JOKE.
Back
Top Bottom