Atm ya traffic daraja mlalakuwa takukuru mko wapi?

MSHINO

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,069
Reaction score
713
Wana jamii tangu maandalizi ya Christmas na mwaka mpya yaanze, polisi wa usalama barabarani wameamua kuweka kambi kwenye daraja dogo pale karibu na JKT makao makuu mlalakua, askari hawa wanachukua pesa (RUSHWA) bila hata aibu.

Kila gari wamekuwa wakichukua Tzs 5000/= mpaka 10,000/= hakuna dereva anayeandikiwa/kutozwa fine. Wakikukamata wanadai kukuandikia fine kulingana na idaidi ya makosa, lakini hawatozi fine mtu watakwambia uchague fine ya TRAFFIC au ya SUMATRA.

SWALI: Je tume ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU wako wapi? Inatia aibu kuona polisi wetu wakichukua rushwa wazi wazi hata kwa wageni kutoka nje ya nchi.

Jana nilishuhudia mzungu mmoja akitoa shilingi 5,000/= ya rushwa, sikujua alikuwa na kosa gani. Tunaomba TAKUKURU wafanye kazi yao, kwaani kuwakamata ni rahisi sana, wachukue gari wakifika pale wajifanye wana wasi wasi kutaka kurudi baada ya waendelee, lazima polisi watawakamata na kuombwa rushwa.

Serikali inapoteza mapato huku askari hawa wakijipatia fedha nyingi kwa njia isiyo halali.
 
MSHINO

Acheni tabia ya kuendesha magari mabovu...!
 
Last edited by a moderator:
MSHINO

Acheni tabia ya kuendesha magari mabovu...!

Watanzania 99% wananua magari chakavu nani ananunua gari jipya, hata wewe km unalo mtumba. tena hayo mabovu hayakamatwi kwaani madereva wake hawana pesa za kuwahonga. polisi wanataka magari mazuru, chunguza vizuri utaona magari amabya hata hayastahili kutembea barabarani lkn hata hawaguswi. mfano kuna FIAT hazina hata brake, tairi kusiha mbona hazikamatwi? tatizo siyo magari mabovu, na wala hatuakatai kukamatwa tunakataa RUSHWA, traffic police imekuwa mradi. basi walipe kodi za P.A.YE au kodi ya zuio, with holding tax
 
Mshino achana naye, badala ya kwenda Kwenye hoja ya rushwa, ana kurupuka na issue nyingine, nadhani hana gari huyo
 
Sasa hiyo ni rushwa wakati watu wanachukua hadi milion rushwa kwani wewe kinauma nini wewe na wewe unachukua ngapi kwa siku
kumbuka kuna wengine wanapewa tu siyo rushwa
Wana jamii tangu maandalizi ya Christmas na mwaka mpya yaanze, polisi wa usalama barabarani wameamua kuweka kambi kwenye daraja dogo pale karibu na JKT makao makuu mlalakua, askari hawa wanachukua pesa (RUSHWA) bila hata aibu. Kila gari wamekuwa wakichukua Tzs 5000/= mpaka 10,000/= hakuna dereva anayeandikiwa/kutozwa fine. Wakikukamata wanadai kukuandikia fine kulingana na idaidi ya makosa, lakini hawatozi fine mtu watakwambia uchague fine ya TRAFFIC au ya SUMATRA.
SWALI: Je tume ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU wako wapi? Inatia aibu kuona polisi wetu wakichukua rushwa wazi wazi hata kwa wageni kutoka nje ya nchi. Jana nilishuhudia mzungu mmoja akitoa shilingi 5,000/= ya rushwa, sikujua alikuwa na kosa gani. Tunaomba TAKUKURU wafanye kazi yao, kwaani kuwakamata ni rahisi sana, wachukue gari wakifika pale wajifanye wana wasi wasi kutaka kurudi baada ya waendelee, lazima polisi watawakamata na kuombwa rushwa.
Serikali inapoteza mapato huku askari hawa wakijipatia fedha nyingi kwa njia isiyo halali.
 
Sasa hiyo ni rushwa wakati watu wanachukua hadi milion rushwa kwani wewe kinauma nini wewe na wewe unachukua ngapi kwa siku
kumbuka kuna wengine wanapewa tu siyo rushwa

Watanzania tumelogwa au? rushwa ni rushwa tu iwe ndogo au kubwa, sababu ya Rushwa hizi ndogo maisha ya watu yamepotea, traffic wanachia makosa gari linaua.
 
Watanzania 99% wananua magari chakavu nani ananunua gari jipya, hata wewe km unalo mtumba. tena hayo mabovu hayakamatwi kwaani madereva wake hawana pesa za kuwahonga. polisi wanataka magari mazuru, chunguza vizuri utaona magari amabya hata hayastahili kutembea barabarani lkn hata hawaguswi. mfano kuna FIAT hazina hata brake, tairi kusiha mbona hazikamatwi? tatizo siyo magari mabovu, na wala hatuakatai kukamatwa tunakataa RUSHWA, traffic police imekuwa mradi. basi walipe kodi za P.A.YE au kodi ya zuio, with holding tax

Kwanini utoe pesa wakati gari lako halina tatizo? Kutoa hongo kwa maaskari maana yake gari lako lina hitilafu...!
 
kawaida sana mkuu,.

Kila inapokaribia mwisho wa mwezi wanakusanya fedha kwa njia hii kwa ajili ya kulipia mishahara kwa watumishi wao,.

''bajeti yao finyu sana kutosholeza malipo ya mishahara''
 
Wewe ndio umelogwa na siyo mimi
nani kakwambia kuna uwezo wa kudhibiti rushwa kwenye ukoo wa panya
ndio mkome kura zenu mnauza kwa maandazi na tisheti msilalamike
Watanzania tumelogwa au? rushwa ni rushwa tu iwe ndogo au kubwa, sababu ya Rushwa hizi ndogo maisha ya watu yamepotea, traffic wanachia makosa gari linaua.
 
Wana jamii tangu maandalizi ya Christmas na mwaka mpya yaanze, polisi wa usalama barabarani wameamua kuweka kambi kwenye daraja dogo pale karibu na JKT makao makuu mlalakua, askari hawa wanachukua pesa (RUSHWA) bila hata aibu.

Kila gari wamekuwa wakichukua Tzs 5000/= mpaka 10,000/= hakuna dereva anayeandikiwa/kutozwa fine. Wakikukamata wanadai kukuandikia fine kulingana na idaidi ya makosa, lakini hawatozi fine mtu watakwambia uchague fine ya TRAFFIC au ya SUMATRA.

SWALI: Je tume ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU wako wapi? Inatia aibu kuona polisi wetu wakichukua rushwa wazi wazi hata kwa wageni kutoka nje ya nchi.

Jana nilishuhudia mzungu mmoja akitoa shilingi 5,000/= ya rushwa, sikujua alikuwa na kosa gani. Tunaomba TAKUKURU wafanye kazi yao, kwaani kuwakamata ni rahisi sana, wachukue gari wakifika pale wajifanye wana wasi wasi kutaka kurudi baada ya waendelee, lazima polisi watawakamata na kuombwa rushwa.

Serikali inapoteza mapato huku askari hawa wakijipatia fedha nyingi kwa njia isiyo halali.

Kosa 1 la Traffic ni Tsh.30,000/= Traffic anakwambia chagua moja uandikiwe 30,000/= au umpe 10,000 au 5000 mmalizane wewe utachagua lipi? Fateni sheria za barabani Traffic hawezi hata siku moja kukuonea
 
Kama Rushwa ni sawa ktk nchi yetu tuna haja gani ya kuwa na tume ye kuzuia na kupoambana na Rushwa-TAKUKURU? inayotumia kodi za walala hoi. idara za serikali ambazo hazina uwezo wa kupata hiyo rushwa wafanyeje na wao wapate pato la ziada? Traffic wenyewe wanakwambia eti wanachukua pension. walimu wafanye nini? sasa naapa kumkamatisha traffic kwa TAKUKURU leo, najua hawakosi pale. hivi sasa naenda Ofisiza PCCB twende wote pale mlalakua.
 
Asanteni sana ndugu
wananchi kwa taarifa. naomba mnipe namba ya askari mmpja tu. namba zao ziko kifuani.
 
Wivu unakusumbua tu
Kama Rushwa ni sawa ktk nchi yetu tuna haja gani ya kuwa na tume ye kuzuia na kupoambana na Rushwa-TAKUKURU? inayotumia kodi za walala hoi. idara za serikali ambazo hazina uwezo wa kupata hiyo rushwa wafanyeje na wao wapate pato la ziada? Traffic wenyewe wanakwambia eti wanachukua pension. walimu wafanye nini? sasa naapa kumkamatisha traffic kwa TAKUKURU leo, najua hawakosi pale. hivi sasa naenda Ofisiza PCCB twende wote pale mlalakua.
 
Kosa 1 la Traffic ni Tsh.30,000/= Traffic anakwambia chagua moja uandikiwe 30,000/= au umpe 10,000 au 5000 mmalizane wewe utachagua lipi? Fateni sheria za barabani Traffic hawezi hata siku moja kukuonea

You are wrong! Traffic anaweza kukusingizia kosa lisilokuwepo ili akupotezee muda umpe hela. Imenitokea mimi mwenyewe. Nimeambiwa fire extinguisher niliyonayo haitakiwi, wakaninyanganya na kutaka kunipiga faini. Wanapotezea watu muda wapate hiyo 5,000.
 
Kuliko nilipe Elfu Thelathini si bora nimpe Trafick Elfu Tano nijiondokee zangu? Serikali yenyewe ni mfu chini ya Rais Mzigo.......!!

Bora nimpe buku tano mtz mwenzangu angalau nichangie uchumi binafsi kuliko kuendelea kunenepesha matumbo ya hawa Mamizigo wanaotutawala...
 
kama gari ina tinted funga vioo vyote halafu kama mko 2 mmoja kati yenu ashuke kunegotiate na anyebaki ndani anachukua picha kiulaini hata kwa kutumia simu halafu aweke hapa tuwaone au angalia huwawana namba au jina kifuani ni hayo tuu kutoka kwa mchunguzi wa kujitegemea
 
Nyie zungumzen 2,wenzenu wanacheza mchezo wa kupeana hela kila siku anatoka mtu.
 
Back
Top Bottom