Tunatawaliwa na wajinga??

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,110
2,000
Ukimuondoa Mwalimu Nyerere, Kuna uwezekano Mkubwa sana watawala wetu ni wajinga, ni wajinga wa mambo mengi, tena ni wajinga toka siku nyingi, toka wadogo, ujanani mwao na wengi mpaka wamefikia uzee.

Kama ni Marais, nadhani karibia wote hawajawahi kuwa na ufanisi katika masomo yao,inawezezekana kuanzia kwa Mwinyi,Mkapa,Kikwete,Sumaye,Malecela,Warioba,Sumaye,Lowasa, Pinda,Msekwa,Sitta, Makinda umakini wao kwenye elimu ya msingi, secondary,mpaka elimu ya juu walikuwa ni wajanja wajanja tu,wasindikizaji, ufaulu wao ulikuwa ni wastani, hawakuwa na bongo zilizochemka.

Ndio maana na utendaji wao ni hivyo hivyo, wooote wanafanana, wajanja wajanjaaa, watu wa mitandao isiyo rasmi,waliozungukwa na wapambe lukuki, bila wapambe hawajiwezi (kama walivyokuwa wanashindwa kufukuruka kwa utofauti wakibaki wao,kalamu,karatasi za maswali na zile za majibu no kuangalizia, usimamizi mahili)

Naweza kupinga hapa. Hao wooote niliowataja kwa mfano, woote hakuna aliyewahi kupata Alama ya B Katika Hesabu. wote.
 

mtunzasiri

JF-Expert Member
Dec 24, 2012
1,344
2,000
unaweza kuwa umeingia kwenye chanzo kizuri cha kukwama kwetu kama taifa la Tanzania. kumbe tunaongozwa na washika fursa sio merits tena katika uongozi ehh...!!!!
 

malipula

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
322
250
B ya hesabu katika level ipi ya secondary au chuo? Je hesabu ndio kigezo pekee cha bongo kuchemka?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom