Atakae tembea nusu uchi Zanzibar kukiona

Waache unafki hao. Wanaojiuza Bwawani na pale Makaburini karibu na Gymkhana watavaa mabaibui?

. . . . Na hao hao wanaotoa amri hizo ndio wateja wakuu wa hao dadapoa wavaao mavazi hayo.

KWELI HUU NI UNAFIKI MTUPU.
 
Unanilazimisha kuelewa???

Badiri Tabia. Kama nguo za nusu uchi huzijui utakuwa sio kiumbe mwanadam mwenye akili timam. Otherwise unaelewa.
Hongereni wazanzibar kwa msimamo wa kujitambua.changamoto mnayo kwa watalii stone town
 
. . . . Na hao hao wanaotoa amri hizo ndio wateja wakuu wa hao dadapoa wavaao mavazi hayo.

KWELI HUU NI UNAFIKI MTUPU.

There are so many evils to be addressed in Zanzibar. Women and Children's rights are being violated each day.
Imekuwa kawaida watoto kufanyiwa ukatili wa kubakwa na ndugu, baba etc but haya yanamalizwa kimya kimya.
But day in day out focus is on the woman. Could you please address Children's Rights and more pressing issues first?
 
zanzibar is funny. jengo la baraza la reps full kiyoyozi. hosp ya mnazi mmoja wazazi wanalala wanne kwa kitanda. madaktari na vifaa hamuna. maendeleo yao ni kuona kila kahaba kavaa baibui.
 
safi sana, sharia lazima izingatiwe!

SHARIA is more than madness. Niliona kitoto cha around eight years kwenye nchi ya kiislam kikikatwa mkono wa kulia eti kimeiba. Baada ya three years dogo hakuweza kukumbuka mkono wake kaupoteza vp. halafu mijitu mizima minus brains inachekelea waqt dogo alopokua anakatwa mkono hadharani
 
Unadanga ndugu mtoto wa miaka 8 hata dhambi hana. Na sheria inamuhukumu mtu atakapofika miaka 15.
 
Kweli dunia inakaribia kuisha yan jambo zur linaonekana kama ushamba na udhalilishaji na jambo baya ndo umeenda na wakat na ndo wakisasa zaid.
 
Badiri Tabia. Kama nguo za nusu uchi huzijui utakuwa sio kiumbe mwanadam mwenye akili timam. Otherwise unaelewa.
Hongereni wazanzibar kwa msimamo wa kujitambua.changamoto mnayo kwa watalii stone town

Na vipi kulana kiboga, sheria imesema au imekuwa bubu hapo?
 
Wizara ya habari, utamaduni,
utalii na michezo imewataka wanachi kuwafikisha katika vituovya polisi watu wanaovaa mavazi ya nguo za nusu uchi na zinazobana. Akijibu suala katika kikao cha baraza la wawakilishi waziri Said Ali Mbarouk amesema sherianamba moja ya mwaka 1973 inatoa fursa kwa wananchi kusimamia utekelezaji wake kwa kuwafikisha vituo vya polisi watu
wanavaa nguo zinazokwenda na sheria hiyo…
Aidha Mbarouk amesema sheria hiyo pia inatoa fursa kwa wananchi kuwakamata wanaume wanaovaa mapambo ya kike ikiwemo herini, kidani na kusuka nywele kuwafikisha vituo vya polisi.

chanzo zanzibar islamic news
 
Safi sana. Dini zetu, Mila na tamaduni ya mwafrika haitufunishi kutembea halfnaked. Nashauri wanaokamatwa waswekwe jela kifungo cha maisha.
 
There are so many evils to be addressed in Zanzibar. Women and Children's rights are being violated each day.
Imekuwa kawaida watoto kufanyiwa ukatili wa kubakwa na ndugu, baba etc but haya yanamalizwa kimya kimya.
But day in day out focus is on the woman. Could you please address Children's Rights and more pressing issues first?

Haki gani na ninani anayeviolate hizo za binadamu?
 
Back
Top Bottom