Msaidizi kuangalia hali ilivyo, akaanza kurudisha the old structure kwenye kampuni! The only difference ni yeye ndio CEO but behind the scene there is another CEO!!
ALICHOUNGANISHA MUNGU MWANADAMU NI NGUMU KUTENGANISHA.
1.Mmefunga ndoa how come usijue alipo means umeenda kwa wazazi wake
2.More than two years mmeachana bado unawaza mchakato wa talaka. Sasa hiyo talaka utampa nani wakati hujui alipo
SEMA WANASHERIA WATAKUPA MUONGOZO
POLE SANA MKUU...
TUTAFAKARI KWA PAMOJA. Je,ni Rais kawatuma au waziri au katibu. Kama ni hivyo je huyo Rais au Waziri au Katibu angejisikiaje kusikia sehemu yake ambayo anaamini Mungu yupo na anatenda yale aombayo yanajibiwa. Ghafla anambiwa hatakiwi kuwepo hiyo sehemu. HII DHAMBI ITAMUANGAMIZA YEYOTE AMBAYE...
HAKI ITASHINDA
Mungu siku zote hajawai kushindwa.
Kama ilivyo kwa T.I.L hatanyongwa kwamaana UHAINI adhabu yake ni KIFO.
Mimi sipo CCM wala CDM ila napenda maisha yangu yote nifuate sheria na kuitii.
HAWA WAUMINI HAWAJATENDEWA HAKI.
Nguvu ya Mungu kupitia kwa Mwanae Yesu Kristo watashinda.
Kuna...
1.ANAYEMPA KAZI MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NI NANI
2.ANAYEWEZA KUMUONDOA AU KUMFUTA KAZI MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NI NANI
3.JE,NI TANGIA LINI OFISIN YA MSAJILI ILITAMBUA VIONGOZI WA CHADEMA SIO HALALI
4.MSAJILI KWANINI ANASITA KUUTANGAZIA UMMA KUWA CHADEMA IMEFUTWA RASMI KWA MUUJIBU WA KANUNI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.