Mpina kakosea sana kugombea Urais

Mpina kakosea sana kugombea Urais

GTs,

Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.

Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.

Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.

Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Ahahahaaaa! Samia anao uvavu wa kujenga hoja!? Urais wa kibongo unaamriwa na wahuni wachache
 
GTs,

Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.

Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.

Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.

Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Umeandika utumbo
 
Samia hajui na hawezi kujenga hoja
 
Dkt Samia anabebwa na mfumo wa CCM, yaani udhaifu tulionao CCM ni kuwa wapiga kura bado uelewa mdogo sana hawachagui mgombea bali wanachagua chama, CCM ni dude kubwa. Kizazi chetu hiki bado uelewa mdogo sana. Kabda wabadilike this time.
Bado sana kufika huko.
 
GTs,

Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.

Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.

Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.

Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Hata akishinda urais atatangazwa na nani!?
 
ANATAKA KUONGEZA CV YAKE

ISHIBE SHIBE
 
Hata akishinda urais atatangazwa na nani!?
Hakuna chama cha upinzani cha kuishinda CCM, wapiga kura wa kitanzania hawaamini ktk mgombea bali wanaamini ktk chama na chama chenyewe ni dude la CCM, upinzani kushinda kiti cha Urais kwa nchi yetu bado sana.
 
GTs,

Mpina hana uwezo wa kujenga hoja.

Hivyo kushinda urais ni ngumu mno.

Alipaswa abaki kwenye ubunge tu.

Sababu ni kuwa watanzania kwa sehemu kubwa bado wanaamini CCM na hakuna chama cha upinzani kinachoweza kushinda kiti cha Urais kwa mgombea yeyote wa CCM.
Mama hana uwezo wowote wa kumzidi mpina,
Haki ingekuwepo wala asingeona mahala amepita mpina,
Alafu watanzania huwezi wasemea,kama nafsi yako inaamini sisiem ni wewe,usijumuishe watz
 
Back
Top Bottom